Unanishaurije kusafiri peke yangu safari ya km 1000

Kama Mara ya kwanza jitahid sana usifunge vioo vya gari itakusaidia kujua gari inatembea kwa speed gani na wote walio kufa kwenye ajari wakiwa na magari binafsi walifunga vioo kwahiyo waliona gari kama haikimbii na kuongeza speed zaidi siku njema
Speedmeter nayo inadanganya?,au zinakuaga mbovu?
 
Mkuu gx 110 nakubali nilisafir na bro dar to songea via lindi kutoka saa 12 saa 11 tumfk huo mwendo njiani nuksi bro alikuwa ameniambia dogo funga mkanda ila sijajua kama inaingia kwa alteza au crown
 
Mkuu gx 110 nakubali nilisafir na bro dar to songea via lindi kutoka saa 12 saa 11 tumfk huo mwendo njiani nuksi bro alikuwa ameniambia dogo funga mkanda ila sijajua kama inaingia kwa alteza au crown
Six cylinder kaka acha mchezo, nakwambia hivi hata VX inaweza ikaachwa ikikamatwa na watu walio[poteza roho wakiwa wazima
 
Six cylinder kaka acha mchezo, nakwambia hivi hata VX inaweza ikaachwa ikikamatwa na watu walio[poteza roho wakiwa wazima
Mkuu mimi nazipenda sana carina ti ila kwa safar y mbali gx 110 kiboko this year mwishon nitavuta wacha dagaa zichanganye
 
Mkuu usimshauri hii kitu ni hatari sana..
Usi mbebe mtu usie mjua hata kama anaonekana malaika kwenye macho yako. Never
mwambie mkuu, unaweza pakia mtu akakufia njiani bure, watu wanatembea na maradhi yao!
 
Hii thread ni ya kitambo kidogo, and i hope mdau alisafiri salama na kufanikisha kusudio lake. 1000km ni chache sana ukiwa na gari imara. usalama wowote barabarani unaanza na dereva mwenyewe. nimesafiri sana usiku na nina uwezo wa kwenda km 1300 per single night, non stop action..@pipikijiti

 
kukp salama tu pita njia ya iringa hakuna mapori..ukiondoka saa kumi usiku au saa tisa utafika songea bado kweupe
 
saa kumi labda aondoke saa tisa usiku
 
kweli tunatofautiana. Mziki mzito hupoteza concentration ya dereva na linapokuja suala la kufanya maamuzi, huwezi ku act fast! it's advised, kuweka mdundo wa kawaida na kuisikiliza engine ya gari lako inavyofanya kazi. iko hivi, unapoendesha masafa marefu, ni bora kuisikiliza gari yako kuanzia engine mpaka tairi inavyokanyaga lami. ni vyema kujua mazingira yanayokuzunguka kama vile watu wengine wanaotumia barabara.
 
Ndio maana nikasema aweke wastan tu. Mi pia siwezi endesha na loud music. Hata kusoma na earphones maskioni siwezi.
 
Asante mkuu,,,uzoefu wangu ni miaka miwili toka nichukue gari na nikila siku nalitumia ingawa ni safari fupi za mjini tu kutembea root ndefu ni mara chache ila najiamini vyakutosha kuhusu kuendesha mkuu
Panda bus
 
nina uzowefu wa kusafiri pekee yangu miaka mingi dar mwanza wala haina tatizo lolote endesha gari kuanzia asubuhi mpaka jioni tafuta mji utakaofika jioni ulale asubuhi anza safari kwenye spidi 50 nenda 45 usijaribu kumpa mtu lift hatari usi ovatake kwenye mlima na kwenye kona na usi overtake gari zipo mbele yako ka tatu au nne subiri ya mbele ikiovartake zamu ya pili kuovartake ikifika zamu yako ovartake nunua spear ya fan belt spear maana inaweza kukatika wakati wowote
 
mimi nagonga bongo to zambia, nikitoka hapa dar, naenda kulala tunduma, nikivuka boarder namaliza mpaka lusaka km 1500 hivi kutoka tunduma to lusaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…