Unaogea sabuni gani yenye manukato mazuri?

kuna hii inaitwa kodrai ipo vzr sana pia ila kuna msabuni flani wa nje mzuri tu sema mkubwa mpk kwenye mkono unazidi ni rahisi kuponyoka

mmmmhhhh mim natumia jamaa sabuni ya kipande napaka futa langu la mukwano saaafiii hiyo perfum ntaisikia saa ngapi labda
 
Tuko wote...mimi napenda jaribu products tofauti tofauti...kuna moja nimeifuma hiyo ina products za kila harufu...kuanzia vanilla, embe mpaka ginger....yani huwa nawaza kuoga tu....


Napenda sana shower gels kama za Lux, na Dove. Siku nasoak kwenye tub nikitoka humo ngozi kama kitoto halafu nanukiaaa.
 
majani ya papai yako vizurii saana


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
infirioriti komleksi....
 
kuna vile visabuni vidogo dogo flani hivi vinapendwa sana kuwekwa gesti vinaitwa "eva" vinanukia sana...
 

Eee mbona jazba na lawama na mtoa mada mbona hajamkashfu mtu? hela ya kubadili mboga huna ila ya kununua MB uingie JF haikupgi chenga si ndiooo! kuwa hata na simu au comp yenye uwezo wa wewe kujiunga humu ur luxury people.
 
Eee mbona jazba na lawama na mtoa mada mbona hajamkashfu mtu? hela ya kubadili mboga huna ila ya kununua MB uingie JF haikupgi chenga si ndiooo! kuwa hata na simu au comp yenye uwezo wa wewe kujiunga humu ur luxury people.

Daaah!Ehehheheheh makavu live?Mkuu kwa kweli sina cha kujitetea hapo ehehehe
 

Ha ha ha haaaaaaaa wakazi wa ORK Simanjirooo na Omo(sabuni za unga za kupima) jmn ndizo wanazotumia mpk mtu ngozi zimewapaukaa na kukakamaaa kama ukuni. Mi mwenzenu nasema coz kun siku nilitia timu humo so nikafkia kwa familia fulani kuambiwa kaoge sabuni napewa jagi lenye sabuni ya unga nikaambiwa huku ndo twatumiaga hizi huku maji maguumuu hayakubali sabuni yoyotee. I thnx God huwa popote niendapo huwa nabeba Olay goat milk shower jel au Nivea shower au yoyote na ngozi yangu lainiiii wanaishia kuulizana mbona wewe ngozi yako laini na inateleza kama konokonoo ukimwambia mtu atoe 10,000 anunue Olay anaona haifai. Mmmm simanjiro badilikeniii ngozi zimewakakamaa kama mamba aliyefia juani kwa misabuni ya unga ya kupima.
 
vile vidogo vya guest house,, mpango mzimaaa
 
Eee mbona jazba
na lawama na mtoa mada mbona hajamkashfu mtu? hela ya kubadili mboga
huna ila ya kununua MB uingie JF haikupgi chenga si ndiooo! kuwa hata na
simu au comp yenye uwezo wa wewe kujiunga humu ur luxury
people.

hahaaaa
huyu jamaa kanikumbusha wale watu katika maofisi wenye tabia ya kujiita sisi wa kada ya chini..

yani hawapendi kuukubali ukweli, ishi maisha kulingana na mkono wako unakofikia nini kujihangaisha kuishi kama fulani.
 
Mimi naogea Abood soap au Kuku nyeupe,kwangu burudani pamoja na mwandani wangu.


 
TBS inahusika...te te te...

Sabuni ukiweka mkononi mkono unawaka moto...zile hazifai hata kwa kufulia...


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…