Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Ndugu mdau, secretarybird ndiye mtu pekee atoae ushauri murua humu, hivyo kama unatatizwa na lolote maishani mwako usisite kumwendea moja kwa moja PM kuliko kumwaga mchele penye kuku wengi.
Ni hayo tu!
Kwa motoShida ni namna unavyowasilisha kisa chako humu. Kumbuka watu humu hawakujui. Ukitaka wajali kuhusu jambo lako, basi washawishi. Gusa huruma zao.
Kuna nyuzi za kuomba ushauri/msaada zimepangiliwa vizuri sana. Mtiririko wa matukio upo vizuri na sauti(tone) ni ya kuhuzunisha kabisa.
Wengi wanasimulia jumla jumla tu kisa hakikamiliki maswali yanakuwa mengi kuliko msaada.
Imekaa vyema sana.Nimeipenda hiiπ€£π€£
Watoe Jf - expert waweke jf -counselor au advisorImekaa vyema sana.
Au mediator!π€£Watoe Jf - expert waweke jf -counselor au advisor
Apewe vyote tuAu mediator!π€£
Mfikishieni Melo taarifa.Watoe Jf - expert waweke jf -counselor au advisor
Ni mshenzi akataka kupigana na mtoa mada ila huyu ndege kibokoππΎπApewe vyote tu
ila Daah kuna sehemu nimepita nimekuta anatoa ushauri kuwa member anayesumbuliwa na kelele za usiku Ana mimba changa πππΎ
Limeisha βLimepitishwa hili Seran ERTUGRUL BEY
Hili likifanikiwa sitawasahau katika ufalme wangu.Limepitishwa hili Seran ERTUGRUL BEY