Leta hilo jambo ukipopolewa pia unaimarika 😊Nina jambo linanitafuta sana na my safe place kusema ni JF ila Bado sijajipanga kisaikolojia kupopolewa
Wapone wagonjwa?Ni sahihi kuomba ushauri ukitatizwa ukiachilia mbali wagonjwa wa akili waliomo humu bado kuna watu wapo timamu wengi sana so muomba ushauri achukue positive hao wengine awaache mpka wapone
Kuna comment ukisoma una ona kabisa huyu yupo mahututi kicwani😅Wapone wagonjwa?
Huku sio kuchukulia siriazi,Kuna comment ukisoma una ona kabisa huyu yupo mahututi kicwani😅
Yaani we acha 😅Huku sio kuchukulia siriazi,
Ee,Yaani we acha 😅
Umetumia kigezo gani kujua mtu anatia huruma anahitaji hurumaWengi wana kuja kwa lengo la kutia huruma "HURUMA SIO MALEZI"
Kwanza jipange halafu ukishakuwa tayar lilete hapa ukiwa fiti kama chuma tayar kukabiliana na wadauNina jambo linanitafuta sana na my safe place kusema ni JF ila Bado sijajipanga kisaikolojia kupopolewa
Mi huwa nachukua mawazo positive tu,i mean zinazotuliza moyo wangu….negative comments huwa sizipi kipaumbele….
Watu wanapitia mengi,wengine malezi yao wamepitia ukatili mtupu,hivyo kumfanyia ubaya mtu mwingine hahisi hatia moyoni kabisa,sasa niambie mleta mada…utaweza kuogopa kupata ushauri kwa sababu ya watu wachache wenye demon spirit ?
Hapana kwa kweli,wakwendree
Ngoja nijipange tu kwakweliLeta hilo jambo ukipopolewa pia unaimarika 😊
Shida ni namna unavyowasilisha kisa chako humu. Kumbuka watu humu hawakujui. Ukitaka wajali kuhusu jambo lako, basi washawishi. Gusa huruma zao.
Kuna nyuzi za kuomba ushauri/msaada zimepangiliwa vizuri sana. Mtiririko wa matukio upo vizuri na sauti(tone) ni ya kuhuzunisha kabisa.
Wengi wanasimulia jumla jumla tu kisa hakikamiliki maswali yanakuwa mengi kuliko msaada.
Yani sio poa kabisa,wao muda wote ni wakati wa masikhara tuKuna hili jibu la kipumbavu huwa linanikela, yaan mtu sirias anaomba ushauri halaf li mtu ninasema "kamsemee kwa babaake!"
Dah umeamua kupita nayo🤣🤣Wengi wana kuja kwa lengo la kutia huruma "HURUMA SIO MALEZI"