Unaomba ushauri mtandaoni; upo tayari kukabiliana na usiyoyatarajia?

Unaomba ushauri mtandaoni; upo tayari kukabiliana na usiyoyatarajia?

Kuna watu wamepagawa humu,yani wao muda wote wapo tayar kushambulia kama nyuki walichokozwa kwenye mzinga wao,kwahiyo kuwa tayar kukutana na maswahiba yote haya,kikubwa ni kwamba ukiweza kuishi kwenye jamhuri ya watu wa jf basi utaweza kuishi mahala popote pale duniani.
UMEWAHI KUISHI UKANDA WA GAZA ?
 
Fatilia Mada nyng humu za kuomba ushauri n za namna gani, utakuta 80% n mambo ya kipuuzi tuu.
Nakubaliana na wewe,hata Mshamba hachekwi alisema kuna mada ambazo zimepangiliwa vizur na maelezo yamenyooka hata tone yake inagusa nyoyo,watu kama hao wanapata mrejesho mzuri tu
 
Kuna watu wamepagawa humu,yani wao muda wote wapo tayar kushambulia kama nyuki walichokozwa kwenye mzinga wao,kwahiyo kuwa tayar kukutana na maswahiba yote haya,kikubwa ni kwamba ukiweza kuishi kwenye jamhuri ya watu wa jf basi utaweza kuishi mahala popote pale duniani.
Watu wanachangamoto za maisha pasipo kujifahamu na matokeo yake ndio hayo. Ni kuwa na shombo mda wote
 
umeamua kujaza watu hofu wasiombe ushauri au unawajulisha kwamba wajiandae kisaikolojia kwa lolote litakalomkera ndg ERTUGRUL BEY
Nawaomba wawe tayar kisaikolojia kupokea yale yote watakayo ambiwa,kuna mtu humu humu ndani inasemekana alijinyonga,alikuja kuomba ushauri watu wakamjibu shit.

Unajua kama wanadamu tunatofautiana namna ya kuyapokea mambo,wengine wako very sensitive kwahiyo nawatahadharisha
 
👊kumbe kuna mtu alifanya maamuzi magumu baada ya kushindwa kuvumilia matusi humu
 
Mwanaume anaandika naomba ushauri gesi imeisha na ninapoishi wanakataza kutumia mkaa, yaani huo ushari anyooshi kuwa anaomba pesa,

Jf ngumu🙌
Halafu watu wanataka ushauri uwe wa msingi 😂

Ndo mana wngn tunasoma kichwa cha habari tuu na kushusha comment ya kamsemee kwa babaake au inasikitisha sana 😂
 
Back
Top Bottom