Unaomba ushauri mtandaoni; upo tayari kukabiliana na usiyoyatarajia?

UMEWAHI KUISHI UKANDA WA GAZA ?
 
Fatilia Mada nyng humu za kuomba ushauri n za namna gani, utakuta 80% n mambo ya kipuuzi tuu.
Nakubaliana na wewe,hata Mshamba hachekwi alisema kuna mada ambazo zimepangiliwa vizur na maelezo yamenyooka hata tone yake inagusa nyoyo,watu kama hao wanapata mrejesho mzuri tu
 
Watu wanachangamoto za maisha pasipo kujifahamu na matokeo yake ndio hayo. Ni kuwa na shombo mda wote
 
umeamua kujaza watu hofu wasiombe ushauri au unawajulisha kwamba wajiandae kisaikolojia kwa lolote litakalomkera ndg ERTUGRUL BEY
Nawaomba wawe tayar kisaikolojia kupokea yale yote watakayo ambiwa,kuna mtu humu humu ndani inasemekana alijinyonga,alikuja kuomba ushauri watu wakamjibu shit.

Unajua kama wanadamu tunatofautiana namna ya kuyapokea mambo,wengine wako very sensitive kwahiyo nawatahadharisha
 
πŸ‘Škumbe kuna mtu alifanya maamuzi magumu baada ya kushindwa kuvumilia matusi humu
 
Mwanaume anaandika naomba ushauri gesi imeisha na ninapoishi wanakataza kutumia mkaa, yaani huo ushari anyooshi kuwa anaomba pesa,

Jf ngumuπŸ™Œ
Halafu watu wanataka ushauri uwe wa msingi πŸ˜‚

Ndo mana wngn tunasoma kichwa cha habari tuu na kushusha comment ya kamsemee kwa babaake au inasikitisha sana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…