Ishu sio kujikakamua, ishu n unaandika nnUnajikakamua kueleza magumu unayopitia na unaomba ushauri unakuta comment ya kwanza mtu anakwambia "Aisee"
Na raraa reree anagonga like hizo sio shida zake
NaamNakubaliana na wewe,hata Mshamba hachekwi alisema kuna mada ambazo zimepangiliwa vizur na maelezo yamenyooka hata tone yake inagusa nyoyo,watu kama hao wanapata mrejesho mzuri tu
Mwanaume anaandika naomba ushauri gesi imeisha na ninapoishi wanakataza kutumia mkaa, yaani huo ushari anyooshi kuwa anaomba pesa,
Jf ngumu🙌
Hapa umemaliza kila kitu mkuukikubwa ni kwamba ukiweza kuishi kwenye jamhuri ya watu wa jf basi utaweza kuishi mahala popote pale duniani.
Humu ndani humu kuzito😁, gesi imeisha anaomba achangiwe😁🙌anakuja kinyumenyume asionekane sura 🤓
yaani asante kwa ushauri 😅Unajikakamua kueleza magumu unayopitia na unaomba ushauri unakuta comment ya kwanza mtu anakwambia "Aisee"
Na raraa reree anagonga like hizo sio shida zake
Hata uandike nini mzee kuna vichwa vibovu humu lazima vikupopoe tuIshu sio kujikakamua, ishu n unaandika nn
Labla kama mna ishu zenu tofautiHata uandike nini mzee kuna vichwa vibovu humu kmmmk lazima vikupopoe tu
View attachment 3610698
Kama wewe ni mwenyeji humu ndani utakuwa na uzoefu mzuri sana juu ya wale wote ambao huwa wanaomba ushauri humu na kile ambacho huwa wanakipata.
Ushauri unapata na kusimangwa juu,si ajabu hapo ulipo unahisi kama uanata kujinyonga kutokana na changamoto zako mbali mbali,sasa unataka kutafuta ndugu zako hapa jf wakufariji au wakupe moyo na njia ya kutoka kwenye changamoto yako hiyo,cha kushangaza ni kwamba hao hao unao wahitaji ndio wa kwanza kukwambia ujinyonge na ukafirie mbali.
Hapa ndio jf bwana,kwa wageni ambao hamna uzoefu na hii nchi ya jf basi habari ndio hiyo,hapa bwana unasemwa,unakandwa vizur tu na unapewa za uso mchana kweupe na members wenzako,kwahiyo unapoamua kuleta shauri lako humu basi jipange kisaikolojia kabisa la sivyo utajuta kwanini hata uliamua kuleta jambo lako humu,yani humu hakuna kulemba.
Kuna watu wamepagawa humu,yani wao muda wote wapo tayar kushambulia kama nyuki walichokozwa kwenye mzinga wao,kwahiyo kuwa tayar kukutana na maswahiba yote haya,kikubwa ni kwamba ukiweza kuishi kwenye jamhuri ya watu wa jf basi utaweza kuishi mahala popote pale duniani.
Nadhani sauti imetosha kabisa mpaka back bencher.
Ni hayo tu!
🙏UZI UFUNGWE.umemaliza kila kitu!!!!Kuwa makini na shikilia zile comment unazohisi ni za kukupopoa, hizo ndizo zenye kukuambia ukweli. Ushauri hauna mbwembwe, ushauri sahihi umenyooka.
FactView attachment 3610698
Kama wewe ni mwenyeji humu ndani utakuwa na uzoefu mzuri sana juu ya wale wote ambao huwa wanaomba ushauri humu na kile ambacho huwa wanakipata.
Ushauri unapata na kusimangwa juu,si ajabu hapo ulipo unahisi kama uanata kujinyonga kutokana na changamoto zako mbali mbali,sasa unataka kutafuta ndugu zako hapa jf wakufariji au wakupe moyo na njia ya kutoka kwenye changamoto yako hiyo,cha kushangaza ni kwamba hao hao unao wahitaji ndio wa kwanza kukwambia ujinyonge na ukafirie mbali.
Hapa ndio jf bwana,kwa wageni ambao hamna uzoefu na hii nchi ya jf basi habari ndio hiyo,hapa bwana unasemwa,unakandwa vizur tu na unapewa za uso mchana kweupe na members wenzako,kwahiyo unapoamua kuleta shauri lako humu basi jipange kisaikolojia kabisa la sivyo utajuta kwanini hata uliamua kuleta jambo lako humu,yani humu hakuna kulemba.
Kuna watu wamepagawa humu,yani wao muda wote wapo tayar kushambulia kama nyuki walichokozwa kwenye mzinga wao,kwahiyo kuwa tayar kukutana na maswahiba yote haya,kikubwa ni kwamba ukiweza kuishi kwenye jamhuri ya watu wa jf basi utaweza kuishi mahala popote pale duniani.
Nadhani sauti imetosha kabisa mpaka back bencher.
Ni hayo tu!
Sasa mfano unalalamika biashara anatokea mtu anakwambia ajira zote hizi wewe unakomaa na biashara jifie zako tuKuwa makini na shikilia zile comment unazohisi ni za kukupopoa, hizo ndizo zenye kukuambia ukweli. Ushauri hauna mbwembwe, ushauri sahihi umenyooka.
Yupo sahihi kwa upande wake, tatizo n ww utakavyoitafisiri hy commentSasa mfano unalalamika biashara anatokea mtu anakwambia ajira zote hizi wewe unakomaa na biashara jifie zako tu
SawqYupo sahihi kwa upande wake, tatizo n ww utakavyoitafisiri hy comment