Unapaswa ujue haya mapema kuhusu Binadamu

Asante kwa somo jema [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
No 6 ndio yenyewe
 
Ni JF inayo sababisha niumie nikikosa MB!

Thanks great thinkers! Bila kumsahau Max Mello aliye buni JF.
 
Imekaa vyema ,tunazidi kujifunza.

Kuna funzo nimepata kwenye mgogoro mmoja mwezi ulioisha umenifanya nirudi ground level ya maisha ya ubinafsi sana. I will just fukcing die with my family- Difficulties and happiness ipo ndani yetu na familia yangu, wengine ni upambe nuksi tu.

Umdhaniaye ndiye kumbe siye kabisa
 
Watu wema hawasemi mabaya ya watu, isipokuwa watu Wabaya wanaojifanya wema ndio husema mabaya ya watu.
 


Hakika Mkuu.
Wale unaowaona wamuhimu kuliko familia yako ndio haohao watakaotesa familia yako siku usipokuwepo
 
well said!!!
 
Mr ROBERT HERIEL usituharibie dunia yetu kwa kuwahimiza watu roho mbaya na ubinafsi kwa kigezo cha kutokupata fadhira kwa wema walio utenda au kutendewa mabaya na wapendwa wao.

Bali wahimize watu kutenda wema kwa moyo pasina kuwa na matarajio yoyote ili zinapotokea hali kama hizo apo juu wasishangae

Huu huu unafiki ndo unaoifanya dunia walau kua salama tukiuishi uhalisia dunia patakua pachungu zaidi.

Mwisho nina maswali kadhaa niruhusu nikuulize.
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu karibu Kwa maswali
 
2.watu gani ni muhimu sana kwako yaani wanamchango mkubwa sana kwako kuwa hivyo ulivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…