DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mshamba huyoAcha ufala. 19 ulitakanufanye kipi cha maana..
Kipensi komandoNataka kulia...ila moyo unanikumbusha tulishakubaliana hakuna kumwaga chozi[emoji4]
Twende kikomando
Ila pesa acheni ziitwe pesa
HIyo ni normal tu.Hata ukishakua na umri wa 40 bado utakuta wenzakonkama wewe wanafanya mambo makubwa tuu.niwe na pesa ndefu
nina wenzangu wanafanya mambo makubwa, mimi nipo tu
Nimeamini umri ni namba na unakimbia sanaUnazeeka au nikuache kwanza? [emoji2297].
1983 - 40
1984 - 39
1985 - 38
1986 - 37
1987 - 36
1988 - 35
1989 - 34
1990 - 33
1991 - 32
1992 - 31
1993 - 30
1994 - 29
1995 - 28
1996 - 27
1997 - 26
1998 - 25
1999 - 24
2000 - 23
2001 - 21
2002 - 20
2003 - 19
Rika la kuwaza michongo mingi mipango mingi afu washua wa mtahani wanaojua vizuri rika lako wanakuona Bado hujakomaaNina 19 ila najiona mkubwa sana na sijafanya chochote cha maana na maisha yangu[emoji22]
Living itself is relative.Theories tu hizo mkuu..
as long as u live, it does not matter
jau kinoma, sema tunyamaze tu mpaka mambo zitiki, magause wa home chuga watanipa saluteRika la kuwaza michongo mingi mipango mingi afu washua wa mtahani wanaojua vizuri rikq wanakuona Bado hujakomaa
Kwahyo unajisikiaje kua lastborn wa jfNina 19 ila najiona mkubwa sana na sijafanya chochote cha maana na maisha yangu😢
Ahahahah..mkuu 🙌🙌🙌. Sikuwezi 😂Living itself is relative.
Living on a ventilator is not the same as living as a fit Olympic sprinting champion.
😎Ur right , on mind I'm already turning 40s yrs but the actual or real age 26 yrsKhaaaa! Mkuu siku zote najuaga wewe utakua kwenye 40's huko😂 unaandikaga kiutu uzima