Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

So katika huu Mfano wako ume assume wanawake au mabinti kuwa hawana kazi za kufanya huwa wanakaa tu nyumbani jukumu lao ni kusubiria maneno matamu....eti?!

Nadhani ni vema kama jamii tuwajenge vijana wetu kujua kuwa dhumuni kuu la mahusiano sio ngono za kitandani na chumbani bali na ujenzi wa taifa.

Na ndio Maana mabinti wa sasa hawana wanalojua katika kuhusiana na vijana zaidi ya kuomba omba vihela na wakishapewa walipie kwa miili yao......
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Tongoza yangu sikuhizi ni " naomba kampani yako na zawadi yako nzuri natakupa utafurahi"

Hachomoi
 
Kinyume chake wapo walimbwende wanaojua kucheza na lugha hizo za kuchombeza ili akuingize kwenye anga zake
 
Kwakujua hawana thamani Tena ndiyo maana wameingia sokoni kusaka Ng'aaru

Labda limbukeni ndiyo atafanya hayo
Siyo Siri wanawake wameshuka thamani Sana imefika mahali wanachukuliwa Bureee kabisa hakuna Cha mahari
 
MWANAMKE KAMA HUNA PESA HIYO YOTE NI KAZI BUREEEE

TUU HUKO KOTE TUMEPITIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…