Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

Madem wengi sasa wanatoka na wanaume wa age kuanzia 37 nakuendea we haujiulizi ni kwanin vijana wenzao hawawataki
Sijakataa, upo sahihi, nakubaliana na wewe lakini maneno matamu ni muhimu ndo maana nikasema wale vijana waache kuongea na pisi kali Kama wanavyoongea na wahuni wenzao vijiweni.
 
Amini,,, Hizo sifa huwa zinamwisho....

Ipo siku atakinai atakuona kawaida sana...

Wanawake sometimes wanapenda masela ambao emotion zao hawazielewi...

Mapenzi ni freestyle... Wewe chati kimahaba, kuna mwingine huko hajibu hata sms na bado anapendwa..



Akawasha gari akateleza
 
Cha msingi ni kutambua kuwa mwanamke hakosagi mwanaume wakumsifia any given day. So usiumize kichwa chako sana. Pesa ndio kila kitu kwa mademu...kamatia kula mbususu achie maboyo kutunga sentesi hizo
 
Hahahhaaaaa
 
Jaribu hizo meseji kwa Espy ama Evelyn Salt kisha ulete mrejesho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nashukuru nimeshavuka kipengele hicho cha kuchati wastani wa miaka 10 iliopita, kwa wenye akili pevu hilo sio hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ki ukweli mimi mwenyewe na madhaifu ya kutupenda Sana kuchati na Mwanamke wangu,yanii nishindwe kusoma thread za Wadau wa JF nikae nachati na mtu daaahhh,Kama ni hivyo tuachane tu,Nitapata wa kufanana nae Teh teh...
 
All in all penzi jipya lina mbwembwe Sana
 
Mwamba wewe mbabe!

Hii ndio masculine wanapenda
 
Kama hauna pesa.. Hvyo vyote ni ubstili mtupu
 
Upewe ulinzi, na upewe mwanamke wa ziada kama unae mmoja uongezwe wawili.....
 
Mkuu tutafute hela maana mawazo ya wadau hatari tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…