Maridadi kabisaaMimi: Oya
Yeye: Niambie
Mimi: Nikitumie kwa empesa au tigo?
Yeye: yoyote my
Mimi: Ok cheki empesa yako.
Yeye: Thank you love nimeiona, niko njiani nakuja usiondoke.
Mimi: Akh usije saivi niko bize.
Yeye; Nakuja tena usitake kuniuzi au una mwanamke mwingine/ Nishapanda bajaji
Mimi: (Nabaki kutabasamu tuu)
SASA WEWE ENDELEA KULAINISHA MANENO
Nilitaka aone kama kweli inafaa kwa wanawake wote au kwa kundi maalum😂Hizo sms za darasa la nne? Kuita sijui malikia wangu sijui nini.....acha basi 😁
Jaribisha bahat yako piaWakoje hawa mkuu na vip kuhusu financial services ?
Nimecheka kwa sauti kubwa hatariMimi: Oya
Yeye: Niambie
Mimi: Nikitumie kwa empesa au tigo?
Yeye: yoyote my
Mimi: Ok cheki empesa yako.
Yeye: Thank you love nimeiona, niko njiani nakuja usiondoke.
Mimi: Akh usije saivi niko bize.
Yeye; Nakuja tena usitake kuniuzi au una mwanamke mwingine/ Nishapanda bajaji
Mimi: (Nabaki kutabasamu tuu)
SASA WEWE ENDELEA KULAINISHA MANENO
Mimi: Oya

umemaliza boss [emoji3][emoji3]Mimi: Oya
Yeye: Niambie
Mimi: Nikitumie kwa empesa au tigo?
Yeye: yoyote my
Mimi: Ok cheki empesa yako.
Yeye: Thank you love nimeiona, niko njiani nakuja usiondoke.
Mimi: Akh usije saivi niko bize.
Yeye; Nakuja tena usitake kuniuzi au una mwanamke mwingine/ Nishapanda bajaji
Mimi: (Nabaki kutabasamu tuu)
SASA WEWE ENDELEA KULAINISHA MANENO
Bongo nyosoo😁😁Mimi: Oya

Hiyo itakua inafaa kwa kundi maalumu 😁Nilitaka aone kama kweli inafaa kwa wanawake wote au kwa kundi maalum😂
Kwa hiyo we demu una date na mwanaume toleo la kwanza kabisa wale namba A sio na D hizi akili sufuriNatamani kumuonyesha shemeji yenu sema hata Smartphone yenyewe hana maana yeye ni type ya kwanza, Sema nmeshamzoea ana maupendo ila hajui kuchat 😃😃😃😃..
Yeye nia yake ni apate utamu mara moja asepe, hawa maslay hata uwe na magunia ya pesa ngapi? They aren't faithful huwezi oa hawa tunapiga pumbu tunatembea kwa wife materials.[emoji23][emoji23] wataachana tu
Yani Plate number A kama Sio BKwa hiyo we demu una date na mwanaume toleo la kwanza kabisa wale namba A sio na D hizi akili sufuri
Mahaba hayana uzee unajidanga kama sio kujifarijiNashukuru nimeshavuka kipengele hicho cha kuchati wastani wa miaka 10 iliopita, kwa wenye akili pevu hilo sio hoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu nimekusoma vemaAmini,,, Hizo sifa huwa zinamwisho....
Ipo siku atakinai atakuona kawaida sana...
Wanawake sometimes wanapenda masela ambao emotion zao hawazielewi...
Mapenzi ni freestyle... Wewe chati kimahaba, kuna mwingine huko hajibu hata sms na bado anapendwa..
Akawasha gari akateleza
Malaya ni bingwa wa misimamo lakin Ana hisia pia.Nilitaka aone kama kweli inafaa kwa wanawake wote au kwa kundi maalum[emoji23]
[emoji16][emoji16]Jaribisha bahat yako pia
Ya kihindiMapenzi ya kuchat au sio