Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

[emoji855][emoji855]Hapa ukienda vibaya unaangukia kwa binti wazamani, I mean kikongwe[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ya ajuza anaye bakia na asili yake, Ile ngoma ukilala ukiamka kwa zile kucha lazima awe amekukata somewhere, vidole vyenyewe vimeachana achana na vina pingili km mafungu ya tangawizi lakin yy kavifugisha makuchaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kaka angu mimi tusamehe jamani
 
PM ni ya kwake, akipiga marufuku we inakuuma nini? Kwa sababu wewe umemuona mbaya hapaswi kuishi maisha yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hawa ndio wakaka wa jf yarabi toba!!!
Yule sikumshangaa mm tuu hata wa pembeni walimwona ni kituko, inshu sio alivyo, inshu ni alivyojiwekaa, ilikua ni night either anatoka date au anaendaa, mm yule akinijia vile km ni baa bora nikajifiche hata chooni au niruke fance upande wa pili ila hanisogelei haki, ni aibuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…