Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

[emoji855][emoji855]Hapa ukienda vibaya unaangukia kwa binti wazamani, I mean kikongwe[emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ya ajuza anaye bakia na asili yake, Ile ngoma ukilala ukiamka kwa zile kucha lazima awe amekukata somewhere, vidole vyenyewe vimeachana achana na vina pingili km mafungu ya tangawizi lakin yy kavifugisha makuchaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana miguu pea mbili, kucha ndefuuu sana hata kutype anapata shida, amevaa kimini hakielewek, kigozi si kigozi, kaniki si kanikii, huko usoni sitaki kuzungumzia maana na definition of creation nisije kukufuru, nikasema kwa kuwaza "Ukiambiwa hawa ndio wanapiga bit humu km sitak mtu PM?" asalaaaleee kweli usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa.
PM ni ya kwake, akipiga marufuku we inakuuma nini? Kwa sababu wewe umemuona mbaya hapaswi kuishi maisha yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hawa ndio wakaka wa jf yarabi toba!!!
Yule sikumshangaa mm tuu hata wa pembeni walimwona ni kituko, inshu sio alivyo, inshu ni alivyojiwekaa, ilikua ni night either anatoka date au anaendaa, mm yule akinijia vile km ni baa bora nikajifiche hata chooni au niruke fance upande wa pili ila hanisogelei haki, ni aibuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom