Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
DahAlikuja ilikuwa jmos na jpil..nikajisemea mwenyewe ningekuwepo tungeenda na shuu wangu
Roho inaniuma kumkosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahAlikuja ilikuwa jmos na jpil..nikajisemea mwenyewe ningekuwepo tungeenda na shuu wangu
Atarudi tena..Dah
Roho inaniuma kumkosa
Ameen babe ngoja tusubiriAtarudi tena..
Naamini hivyo,
Dada, naamibiwa kwamba "eti nilisha shindikana humu ndani"....[emoji17] [emoji29][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka wa mimi haki yo nuts!!
Eimeen🙏🙏Ameen babe ngoja tusubiri
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Dada, naamibiwa kwamba "eti nilisha shindikana humu ndani"....[emoji17] [emoji29]
Nimeingia insta anarudi march tar 2 na 3 nahisi utakuwa umesharudiEimeen[emoji120][emoji120]
Bora ya ajuza anaye bakia na asili yake, Ile ngoma ukilala ukiamka kwa zile kucha lazima awe amekukata somewhere, vidole vyenyewe vimeachana achana na vina pingili km mafungu ya tangawizi lakin yy kavifugisha makuchaa.[emoji855][emoji855]Hapa ukienda vibaya unaangukia kwa binti wazamani, I mean kikongwe[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes swirly ntakuwa in da hauz...Nimeingia insta anarudi march tar 2 na 3 nahisi utakuwa umesharudi
Wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] acha twende tukabarikiwe na Bwana Yesu [emoji120][emoji120]Yes swirly ntakuwa in da hauz...
Basi kaka angu mimi tusamehe jamaniBora ya ajuza anaye bakia na asili yake, Ile ngoma ukilala ukiamka kwa zile kucha lazima awe amekukata somewhere, vidole vyenyewe vimeachana achana na vina pingili km mafungu ya tangawizi lakin yy kavifugisha makuchaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyamin....Nyithindo adi?
Kare mano ber[emoji122][emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ni Me...!!??[emoji15] [emoji15]
PM ni ya kwake, akipiga marufuku we inakuuma nini? Kwa sababu wewe umemuona mbaya hapaswi kuishi maisha yake?Ana miguu pea mbili, kucha ndefuuu sana hata kutype anapata shida, amevaa kimini hakielewek, kigozi si kigozi, kaniki si kanikii, huko usoni sitaki kuzungumzia maana na definition of creation nisije kukufuru, nikasema kwa kuwaza "Ukiambiwa hawa ndio wanapiga bit humu km sitak mtu PM?" asalaaaleee kweli usilolijua ni sawa na usiku wa gizaa.
Eimeeem Hallelujah..🔥🔥🔥🔥Wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] acha twende tukabarikiwe na Bwana Yesu [emoji120][emoji120]
[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Nyamin....
We'che iloso kod wa'ch
Ka'ka piny'osiko to ok'sikie, chieng' na ndus ni wach.
Yule sikumshangaa mm tuu hata wa pembeni walimwona ni kituko, inshu sio alivyo, inshu ni alivyojiwekaa, ilikua ni night either anatoka date au anaendaa, mm yule akinijia vile km ni baa bora nikajifiche hata chooni au niruke fance upande wa pili ila hanisogelei haki, ni aibuu.[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hawa ndio wakaka wa jf yarabi toba!!!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Eimeeem Hallelujah..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
😫😫Ni jina langu mimi hapa...[emoji30][emoji30][emoji30]
Nikweli nimeacha tabia ya kulala kwa nyumba ya chang'aa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Na kweli ulishashindikana, hope umeacha now[emoji85][emoji85]