Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Ndiyo kulingana na masharti ilitakiwa aue mtu ili apate damu, na hapo ndipo siku zote mambo ya "uchawi" au "uganga" yanapofanywa kuwa SIRI.

Juu ya wale mbwa nilisahau kumuuliza kilichoendelea.
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
 
Reactions: uth
Sijawahi kuamini hayo mambo ya wachawi kuruka na ungo na wala kuingia chumbani ihali umefunga milango na wala misukule hakuna ...Ni story tu za kutufnya sisi tuendelee kuwa wajinga tukiziacha hizi story Africa basi bara letu litaendelea sana tu..

Ila ukitaka kugombana na muafrica mwambie uchaw hakuna ...na ukimwambia nithibtshie anakuambia hayajakukuta ...Ni upumbavu mtupu Mara oih ulimwengu wa Roho ulimwengu wa Roho ukimwambia najuaje kama uchaw upo anakuambia huwez kuona huo Ni ulimwengu wa roho imekuwa kama kesi ya Kobe ukitaka kumshika kichwa anarudi kwenye gamba lake ndivyo walivyo watu hawa wa ulimwengu wa roho ......Mwanadam asili yake Ni mwanadam ameumbwa kwa udongo vitu anavyovifnya tunategemea tuvione kwa ulimwengu wa mwili yeye ameumbwa ivo ...ila malaika ndio ulimwengu wao Ni roho maana wao ndio wameumbwa ivo kwa mjibu wa maandko ...kikubwa zaidi ndugu yangu mshana uchawi wa aina hyo hakuna na hauwezi kuwepo.

Amina
 
Hakuna ukweli hapo ndugu acha story za kuambiwa
 
Reactions: uth



Mkuu, umejaribu kuelezea kitu usichokijua, hivyo umeeleza kulingana na upeo wako na mbaya zaidi umehitimisha kwa kutia hukumu (decree) kwamba uchawi hakuna.

Yakupasa kwanza utafute tafsiri ya uchawi (the definition), na uwaulize wanaojua kuliko kupinga kitu usichojua.

Leo hii kuna watu wanapinga nguvu za uvutano (universal gravitation) si, kwasababu nguvu hizo hazipo bali haelewi na kutambua bali hawana uwezo wa kuelewa kutokana na upeo finyu wa akili zao (their understanding), na ELIMU ya uchawi inafanana na jambo hilo. Ni "branch" ya sayansi ambayo kadiri muda unavyozidi utapata umaarufu na manufaa kwa watu yataonekana, hapa sizungumzii juu ya uchawi wa misukule na kuwanga na kuroga watu nazungumzia uchawi wenye manufaa na faida kwa watu.
 
Ok sawa asante kwa mchango ila nina maswali machache
Je baada ya binadamu kuumbwa kwa udongo kuna kingine kilifanyika? Kumbuka kuhusu pumzi ya uhai aliyopuliziwa.... Je unaifahamu hii pumzi ni kitu gani?
Hawa unaowaita malaika je ndio roho zenyewe? Kama ndio hivyo kwanini mwanadamu awe na roho?
 
Kiufupi ameshindwa kujibu hoja ya mada kuu
 
Jibu kulingana na hoja ya mshana Jr je! Kuna watu wanaoruka na ungo na fimbpo yaan kitu chochote kischokuwa na engine machine?
 
Reactions: uth
Nimekujibu kwa ufupi ili ujue aina ya uchawi uliouzungumzia wew hakuna na hautakuepo....ila kuhusu hayo maswali yako ngoja nirudi. Nitakupa elimu inayoeleweka muache kutsha watu na vitu vya mdomoni tu ihali wenyewe ata sio watendaji na hata hamjawah kuwaona hao watendaj mnaodhani wapo ...Nb: malaika Ni malaika MTU Ni MTU .
Mchawi sio shetani ninyi mnasema Ni MTU ..
Na shetan sio mchawi Ni shetani ambaye Ni malaika.

Narudi.
 
Reactions: uth
Naomba ujibu kwa utulivu hoja kwa hoja
 
Reactions: uth
Na unapoishia uchawi ndipo Mungu anapoanzia kazi zake..!

I choose to follow Jesus.
 
Jibu kulingana na hoja ya mshana Jr je! Kuna watu wanaoruka na ungo na fimbpo yaan kitu chochote kischokuwa na engine machine?



Mkuu, Anikanjema, wewe hujasikia kitu kinachoitwa "LAVITATION"?? ,(sijui kiswahili chake). Kuna watu wanafanya hii "levitation " hadharani kulingana na nguvu zilizomo mwilini mwao, hii ni aina fulani ya "Hypnotism" ---- sasa kuruka angani au kuelea angani (lavitation) ni mojawapo ya nguvu ya "hypnotic".
 
mkuu samahan swali langu je? kwanini wachawi hawawezi na huwa wanashindwa kuingia NMB, CRDB, etc



Labda mimi niulize, Wachawi waingie humo NMB au CRDB kufanya nini??. Wapo wateja ambao ni wachawi na wanazo account katika hizo bank na huwa wanaingia kufanya miamala, au wewe unataka waingie kufanya nini zaidi ya hapo??!!
 
Reactions: uth
Labda mimi niulize, Wachawi waingie humo NMB au CRDB kufanya nini??. Wapo wateja ambao ni wachawi na wanazo account katika hizo bank na huwa wanaingia kufanya miamala, au wewe unataka waingie kufanya nini zaidi ya hapo??!!
uelewa wako ni mdogo sana kwenye kuelewa maswali, ingekuwa hivyo sidhani kama ningeuliza sawli hilo...
kiufupi uchawi unaanzia sayansi inapoishia, nilitaka kujua ni kwanini ni vigumu fedha zilizopo kwenye mabenk ni vigumu kuibwa kiuchawi wakati kule sayansi ndio iliyotumika.?
kama una majibu nijibu kama huna kausha tumngoje @Mshanar Jr.
 
Reactions: uth



Majibu yapo, kwa kuwa wewe unataka nikujibu katika njia inayokupendeza basi, kama unavyotaka, ninampisha Mkuu Mshana jr, aje kukujibu.

Karibu mkuu Mshana jr.πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
mkuu samahan swali langu je? kwanini wachawi hawawezi na huwa wanashindwa kuingia NMB, CRDB, etc
Kwanza hata wakiingia hutajua
Pili mchawi hahitaji kuingia huko ili apate pesa akizihitaji atazipata kwa njia nyingine nyingi tu
 
Mchawi hahitaji pesa hizo za bank kwakuwa hana matumizi nazo... Akihitaji chochote anakipata
 
Reactions: uth
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…