Mkuu, umejaribu kuelezea kitu usichokijua, hivyo umeeleza kulingana na upeo wako na mbaya zaidi umehitimisha kwa kutia hukumu (decree) kwamba uchawi hakuna.
Yakupasa kwanza utafute tafsiri ya uchawi (the definition), na uwaulize wanaojua kuliko kupinga kitu usichojua.
Leo hii kuna watu wanapinga nguvu za uvutano (universal gravitation) si, kwasababu nguvu hizo hazipo bali haelewi na kutambua bali hawana uwezo wa kuelewa kutokana na upeo finyu wa akili zao (their understanding), na ELIMU ya uchawi inafanana na jambo hilo. Ni "branch" ya sayansi ambayo kadiri muda unavyozidi utapata umaarufu na manufaa kwa watu yataonekana, hapa sizungumzii juu ya uchawi wa misukule na kuwanga na kuroga watu nazungumzia uchawi wenye manufaa na faida kwa watu.