Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

things work in oposite the way unavyojua wewe...unachotegemea kiwe ndo mana hakitokei kwa sababu unachotegemea kitokee ni illusion na kwa sababu unakuwa umeshakalili iwe hivyo but reality haiko hivo...the way how reality works is quite different from what you expect.....

Mtu kujua how to use laws zinazogovern life haimanishi aanze kuzitumia bila specific purpose....every knowledge is used to serve a specific purpose ....kuna baadhi ya juzi zinakulimit sehemu flani...sio kila kitu utakuwa unakifanya ..tena ukizidi kipimo ulimwengu uliokuruhusu unakupoteza katika dimension nyingine kabsaaa...lazima ufahamu kuwa there are so many dimensions ambazo zinashikilia uhai wa viumbe wote ulimwenguni..

Ulimwengu unaoonekana upo level flani ya dimension reality...sisi tunaonana kwa sababu tunaoccupy the same dimension ..occular alteration ipo katika dimension ...

Ukiwa mchawi manake umejua ujuzi wa kuingia katika dimension mbili au tatu tofauti depending na level ya uchawi ulionao..kwa hiyo the more unavyojua how to cross the boundaries katika reality ndivyo unakuwa na uwezo wa kusynchronize with the other world pia...kuna world nyingi ndani ya universe moja but with different level of dimensions...

The forces that open up the gate way ya kuingia other world ina mipaka yake make ukikosea tu mashariti ya kutumia nguvu hizo basi inakupeleka into other dimensions of other form of reality mpaka pale watakapokurudisha wajuzi wa mambo...

.Kuna mzee mmoja alikuwa mchawi sana kijijini kwetu ila aliwahi kupotea mazingira ya kutatanisha yani alikuja kuonekana badae sana ..

The more unavyozid kuasend into powers ndivyo unavopaswa kujua limitations za power hizo ila wapo watu waliofanikiwa kujua limitations na misingi ya kucontrol ujuzi huo na most of white people know much how to use the unseen forces lakini wanatublackmind sisi waafrica tuache hiyo mambo but they are the ones who know more how to play with entangled issues za kila nguvu na hao ndo wenye dunia hii,sisi wengine tupo tu kusubiri jua litachomoza asubuh na kuzama jion ila wapo wanaojua namna mambo yote yanavyotekea before,after and within the midst of the action ya kila kitu....

Ifahamike kwamba kujua uchawi sio dhambi ila ni kujua namna ya kuutumia,we avoid to know that thing kwa sababu hatuna hekima ya kujua faida yake...laiti tungelitambua how important it is ,we couldnt be proclaiming to God kwamba atusaidie ,everything is clear in this universe,science and technology are ones of the manipulation of unseen forces that work in the hidden form but now are put into physical reality but also in the hidden world things work under supersonic speed with maximum efficiency than in scientific way....

Hata quantum technology inalitambua hilo...kuna watu wanarisk maisha kugeuza hidden forces kuoperate in physical reality..every inversion ya technology unayoishuhudia nyuma yake kuna watu wamerisk maisha kuchange mode ya operation.....

Sometimes the truth of realitt is synchronized with the risk,so nothing is simple as you think....
 
Last edited:
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] nimelewa kichwa changu butu kweli kweli
 
Kwanza kwa taarifa yako benki zinaibiwa sana ila kwakuwa kunakuwa hakuna palipovunjwa watasemaje wameibiwa?

Pili benki huwa zinajitahidi sana kuficha wizi unaotokea ili kuwapa wateja imani ya usalama wa pesa zao

Tatu Mchawi wa kweli hahitaji kwenda kuiba pesa kwakuwa mahitaji anayotaka anayapata bila hata pesa

NNE Mchawi hahitaji kwenda NECTA kuiba majibu... Kama akihitaji mwanae afaulu atamletea majibu kwa njia ya Bluetooth ya kilozi au ata insert majibu automatically kwenye medula yake
 
Hapa ndipo elimu juu ya uchawi inapopotoshwa kwa kuangalia matukio machache ya kipuuzi yanayochukuliwa na wengine bila tafakuri kuwa huo ndio uchawi wenyewe
 
A very big salute [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji144] [emoji144]nondo imebeba madini mpaka inatisha... Nimejikuta nakuwa mwanafunzi niliyeongeza maarifa mapya[emoji122] [emoji120] [emoji122] [emoji120] [emoji115]
 
Nyie mnacheza nyie, mtu alikufa saa ya mazishi watu wakuona invisible thing wwkamuona nyuma ya mlango katoa tu ulimi. Mwingine akalala tu njia ya kwenda makaburini watu wanamkanyaga hawajui hadi wataalam ndio wakamuona, Nyie mnacheza nyie
 
Mkuu; Thithi hatujambo. Elimu hii imepewa jina baya i.e. UCHAWI halafu kwa kuwa haieleweki, haifahamiki vizuri na haiko wazi ; basi kila ovu lisilofahamika linaelekezwa kwenye hii elimu kwamba ndio inahusika. Mimi ningeshauri kwamba wenye elimu hii wasaidie kufichua maovu hususan pale tuhuma za Uovu uliotendeka zinapoelekezwa kwao.

Wanapokaa kimya maana yake ni "Silence means consent" yaani wanakubali kwamba wamehusika. Shida inakuja kwenye uthibitisho ili sheria ichukue mkondo wake.
 
Ukinijibu hili utakuwa umefaulu kwenye nadharia yako ya SAYANSI
Ninini kinasababisha mawasiliano yetu hapa jukwaani?
Je ni simujanja?
Je ni mtandao wa simu?
Je ni app ya JF ama browser?
Je ni bundle?
Je ni software? (Uchawi)
Je ni ID yako?
Ahahah kwanini hapo kwenye software umefungia mabano uchawi? Unataka kusema nini hapo?
 
Kuna ombwe kubwa la kiufahamu na upotoshaji wa kutosha kuhusu hii elimu... Na hata sisi wengine tunapojaribu kuidadavua tunaishia kupewa majina mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…