Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Wengine wanakesha kanisani...Hee aisee sasa wakitoka hio saa sita usiku wanarudi aje makwao au huko kuna usafiri masaa 24?
Waumini wa hapo wana kazi sana masharti mengi, mida mibovu.
Salaam hii nimeipenda sana; NI NZITO SANA.3.Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe..
Ajabu Ni kwamba mm nimewai kusali pale had mida hyo Ila ukitoka tu uwezi kosa gari. La kukupeleka kukote unakotaka Hapa DSM.Hee aisee sasa wakitoka hio saa sita usiku wanarudi aje makwao au huko kuna usafiri masaa 24?
Waumini wa hapo wana kazi sana masharti mengi, mida mibovu.
Usitafute matatizo kwa nguvu.Ntaenda na ntafanya kinyume na yote hayo na hakuna wakunifanya kitu
Hii kanisa liko maeneo gani?
Mtaa nNadhanikezo
Asante kwa taarifa...Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.
1.Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.
2.Hairuhusiwi kusinzia ibadani.
3.Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.
3.Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.
Kuna wasimamia ibada ambao wanawaangalia waumini wakati wa ibada ili kufata masharti haya.
Ratiba ya Ibada ni Jumanne saa 9 mchana mpaka saa 6 usiku ,Ijumaa muda huo huo.
Jumapili muda kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 au 3 usiku.
na uyo salumu ni nani?Salaam hii nimeipenda sana; NI NZITO SANA.
KUSIFIWA hata mimi naweza KUSIFIWA, tena hata kwa jambo la kijinga; lakini KUTUKUZWA, siku zote huwa ANATUKUZWA MUNGU PEKE YAKE. Hayupo kiumbe mwingine yeyote yule mwenye kustahili sifa hii ya KUTUKUZWA, isipokuwa MUNGU PEKE YAKE
I like the SALAAM; I could as well adopt it at our church, if possible
Na wewe miongoni mwaoSalaam hii nimeipenda sana; NI NZITO SANA.