Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa na hekima ya kuhakikisha wanaoenda pale wanarudi makwao....Hee aisee sasa wakitoka hio saa sita usiku wanarudi aje makwao au huko kuna usafiri masaa 24?
Waumini wa hapo wana kazi sana masharti mengi, mida mibovu.
Hee kumbe
Huyu Musa ni mwanafunzi wa "Mzee wa Yesu". Kampindua jamaa baada ya kupewa maujanja yote na nafasi mchungaji mkuu msaidizi , kapata ushawishi kajitenga na kuchota wafuasi wa kutosha. Sijui hata yule mzee kajifia wapi!Mchagga aliyeshindwa seminari ya katoliki na kukimbilì Dar kwenda kuanzisha taasisi yake binafsi ambapo sadaka zinakwenda kwake lakini bado ukatoliki unamsuta maaana anaiga mishono ya kanzu za mapadri wa kikatoliki
Hadi ekarist,divai,na chetezo ya ubani anafanyaMchagga aliyeshindwa seminari ya katoliki na kukimbilì Dar kwenda kuanzisha taasisi yake binafsi ambapo sadaka zinakwenda kwake lakini bado ukatoliki unamsuta maaana anaiga mishono ya kanzu za mapadri wa k
ikatolik
Mama Kafa Na Kanisa LakeWale wa upepo wa kisulisuli wapo?
Mzee wa Yesu si ndo huyu, naona bado yupo.... Hapo kwenye maujanja yapi tena???Huyu Musa ni mwanafunzi wa "Mzee wa Yesu". Kampindua jamaa baada ya kupewa maujanja yote na nafasi mchungaji mkuu msaidizi , kapata ushawishi kajitenga na kuchota wafuasi wa kutosha. Sijui hata yule mzee kajifia wapi!
Kakobe aliyaona haya ndio maana kuliko ahubiri mwingine, anahubiri mwenyewe kwa video.
Njoo na Sadaka za:-Vipi kwenda bila fungu la kumi wanaruhusu?
Hayo masaa mawili yananishinda kwenye ukatoliki, hizi ibada zao ningeziweza kweli? Bwana Yesu atukuzweIwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.
1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.
2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani.
3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.
3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.
Kuna wasimamia ibada ambao wanawaangalia waumini wakati wa ibada ili kufata masharti haya.
Ratiba ya Ibada ni Jumanne saa 9 mchana mpaka saa 6 usiku ,Ijumaa muda huo huo.
Jumapili muda kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 au 3 usiku.
Unalipia 100,000/- kumwona.Nasikia ukitaka kuona nae personally inatakiwa kulipa sadaka kubwa na kujaza fomu ya appointment
Aisee [emoji23]Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.
1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.
2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani.
3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.
3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.
Kuna wasimamia ibada ambao wanawaangalia waumini wakati wa ibada ili kufata masharti haya.
Ratiba ya Ibada ni Jumanne saa 9 mchana mpaka saa 6 usiku ,Ijumaa muda huo huo.
Jumapili muda kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 au 3 usiku.
Ntaenda na ntafanya kinyume na yote hayo na hakuna wakunifanya kitu
Hio ibada gani asubugi hadi sa tatu usiku?Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.
1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.
2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani.
3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.
3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.
Kuna wasimamia ibada ambao wanawaangalia waumini wakati wa ibada ili kufata masharti haya.
Ratiba ya Ibada ni Jumanne saa 9 mchana mpaka saa 6 usiku ,Ijumaa muda huo huo.
Jumapili muda kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 au 3 usiku.
Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.
1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.
2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani.
3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.
3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.
Kuna wasimamia ibada ambao wanawaangalia waumini wakati wa ibada ili kufata masharti haya.
Ratiba ya Ibada ni Jumanne saa 9 mchana mpaka saa 6 usiku ,Ijumaa muda huo huo.
Jumapili muda kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 au 3 usiku.
Mkuu mimi mwenyewe nimekulia kwenye mazingira ya seminary......Yani muda wa matangazo nasepa ndio sembuse more than eight hours aiseeeee siweziHayo masaa mawili ya anishinda kwenye ukatoliki, hizi ibada zao ningeziweza kweli? Bwana Yesu atukuzwe