Unapoenda kuabudu kwa kuhani Musa Kimara Temboni zingatia haya

Hizo siku za kuabudu ni nyingi na huo muda ni mrefu sana.

Siku ya kuabudu iwe Jpili tu, hizo siku nyingine Watu wakafanye kazi maana ibada sio kazi...Hao anaotaka waende ibadani siku za kazi ni nani atazalisha kwa niaba yao? nani ataijenga nchi kwa niaba yao?.
 
Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.

1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.

2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani.

3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.

3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.

Kuna wasimamia ibada ambao wanawaangalia waumini wakati wa ibada ili kufata masharti haya.

Ratiba ya Ibada ni Jumanne saa 9 mchana mpaka saa 6 usiku ,Ijumaa muda huo huo.

Jumapili muda kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 au 3 usiku.
Na ukifata yote hayo badae inakuwaje?unapata pesa nyingi,shida zinaisha?maisha yako yanakuwa Bora zaidi,au unakuwa kama Bakheresa,Dangote,Eron musk,au?
Acheni kupoteza muda.
 
Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.

1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.

2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani.

3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.

3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.

Kuna wasimamia ibada ambao wanawaangalia waumini wakati wa ibada ili kufata masharti haya.

Ratiba ya Ibada ni Jumanne saa 9 mchana mpaka saa 6 usiku ,Ijumaa muda huo huo.

Jumapili muda kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 au 3 usiku.
Kati ya jamii inayoteswa na mapokeo ya kizee yaliyo maagizo ya wanadamu ni ya kikristo.
Paulo kwenye kitabu cha biblia anawauliza ni nani aliyewaloga?
Hawajawahi kuwa na jibu hadi leo.
Swali limesimama vile vile.
 
Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya.

1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada.

2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani.

3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako.

3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe.

Kuna wasimamia ibada ambao wanawaangalia waumini wakati wa ibada ili kufata masharti haya.

Ratiba ya Ibada ni Jumanne saa 9 mchana mpaka saa 6 usiku ,Ijumaa muda huo huo.

Jumapili muda kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 2 au 3 usiku.
Kupiga picha, pale siyo Royo Tua.
Kusinzia, kuna mmoja aliwahi kusinzia na akaota kwa sauti anakula tunda kimasihara.
Kuegemea kiti cha mbele, jamaa mmoja mnene jina nimelisahau aliegemea kiti cha mbele bahati mbaya akaachia bomu la mchanganyiko wa mayai ya kuchemsha na maharage.
 
Unasali kuanzaia saa 12 hadi saa 2 usiku, au saa sita....UNA DHAMBI GANI? au unaomba nin?
 
Back
Top Bottom