Unapoenda kuabudu kwa kuhani Musa Kimara Temboni zingatia haya

Nadhani Calabash. Ukitoka Mwenge ikiwa unaenda Ubungo,ni kituo cha kwanza tu kiitwacho Mpakani. Upande wa kulia kwako.
Kimara Temboni kama sikosei. Mkono wa kulia kama unaenda Kibaha ukitoka Dar. I stand to be corrected
 
Nikijisahau nikavunja Masharti nitapewa adhabu gani Mkuu?
 
Wanasema kutesa kwa zam. Alianza Kakobe, nikamsikia Lusekelo, Mwingira, Gwajima, na Sasa Musa na Mwamposa. Wanaotangulia huwa wanachuja!? Au inakuwaje!?
 
Vipi kwenda bila fungu la kumi wanaruhusu?
 
Mchagga aliyeshindwa seminari ya katoliki na kukimbilì Dar kwenda kuanzisha taasisi yake binafsi ambapo sadaka zinakwenda kwake lakini bado ukatoliki unamsuta maaana anaiga mishono ya kanzu za mapadri wa kikatoliki
 
Huu ufara siwezi kuufanya. Ni wendawazimu tu watafata hayo masharti.

Yani unasali saa 12 asubuhi mpaka saa 3 usiku? Hata Mungu atalaani.
 
Uwongo dhambi hata mimi nimeipenda
 
Wanasema kutesa kwa zam. Alianza Kakobe, nikamsikia Lusekelo, Mwingira, Gwajima, na Sasa Musa na Mwamposa. Wanaotangulia huwa wanachuja!? Au inakuwaje!?
Umemsahau Suguye
 
Mchagga aliyeshindwa seminari ya katoliki na kukimbilì Dar kwenda kuanzisha taasisi yake binafsi ambapo sadaka zinakwenda kwake lakini bado ukatoliki unamsuta maaana anaiga mishono ya kanzu za mapadri wa kikatoliki
Hee kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…