Unapoenda kuabudu kwa kuhani Musa Kimara Temboni zingatia haya

Saa sita usiku huo muda mzuri wa kwenda kuvizia pisi zinazotoka kanisani
 
Hee aisee sasa wakitoka hio saa sita usiku wanarudi aje makwao au huko kuna usafiri masaa 24?

Waumini wa hapo wana kazi sana masharti mengi, mida mibovu.
Atakuwa na hekima ya kuhakikisha wanaoenda pale wanarudi makwao....
 
Hee kumbe
Mchagga aliyeshindwa seminari ya katoliki na kukimbilì Dar kwenda kuanzisha taasisi yake binafsi ambapo sadaka zinakwenda kwake lakini bado ukatoliki unamsuta maaana anaiga mishono ya kanzu za mapadri wa kikatoliki
Huyu Musa ni mwanafunzi wa "Mzee wa Yesu". Kampindua jamaa baada ya kupewa maujanja yote na nafasi mchungaji mkuu msaidizi , kapata ushawishi kajitenga na kuchota wafuasi wa kutosha. Sijui hata yule mzee kajifia wapi!
Kakobe aliyaona haya ndio maana kuliko ahubiri mwingine, anahubiri mwenyewe kwa video.
 
Mchagga aliyeshindwa seminari ya katoliki na kukimbilì Dar kwenda kuanzisha taasisi yake binafsi ambapo sadaka zinakwenda kwake lakini bado ukatoliki unamsuta maaana anaiga mishono ya kanzu za mapadri wa k
Hadi ekarist,divai,na chetezo ya ubani anafanya
Yaan ukiangalia nikama ameiga ibada za katoliki
 
Mzee wa Yesu si ndo huyu, naona bado yupo.... Hapo kwenye maujanja yapi tena???
 
Hayo masaa mawili yananishinda kwenye ukatoliki, hizi ibada zao ningeziweza kweli? Bwana Yesu atukuzwe
 
Nasikia ukitaka kuona nae personally inatakiwa kulipa sadaka kubwa na kujaza fomu ya appointment
Unalipia 100,000/- kumwona.
Miye niliingia mpaka kumwona, the guy is so smart kwenye kupiga.
Fomu yako inajieleza then unahojiwa halafu anakuuliza kazi gani ndo unaandikiwa dozi yako ya Mafuta na maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ibada gani asubugi hadi sa tatu usiku?

Ndio mnatuharibia ratiba za familia zetu kiukweli

Mtu anaondoka asubuhi kaacha familia hajui inakwendaje sikuhiyo


Sipingi ibada lakini badilisheni ratiba
 


Mimi namfuatilia mtumishi wa Mungu Kuhani Musa Richard Mwacha
Youtube: https://youtube.com/@FRESHSPRINGFELLOWSHIP
Television: #Jehovajiretv - Channel @ 455 Startimes, 006 AzamTv
 
Hayo masaa mawili ya anishinda kwenye ukatoliki, hizi ibada zao ningeziweza kweli? Bwana Yesu atukuzwe
Mkuu mimi mwenyewe nimekulia kwenye mazingira ya seminary......Yani muda wa matangazo nasepa ndio sembuse more than eight hours aiseeeee siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…