Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

Mahusiano yalinitesa sanaa Nikawa wakulialia Nikashindwa ku move on kutokana nilikuwa kipofu sikuona Mlango wa kutokea Nililuzi concentration baazi ya Mipango yangu na Mambo yangu kiujumla.

Hakikisha unatake care Roho yako, nafsi pamojah na mwili wako Jitahidi kujilinda
Hivyo jlivyo wewe ni wadhaman sana.

View attachment 3040743
Unapatikana wapi nikukaze wenge likate
 
Maisha haya.....
Kuna wengine tunawaza tunawakwepa vipi...,,
Maana kila day ni wapenzi wapya tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] husna? Nnao mashost kina Husna wako mtu 2 aseeh ni noumaaah!!
Kimekulambaaa, Woiiiiih
Nikikumbuka hera za vijola na kusuka😢😭😭
 
Back
Top Bottom