Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

Hawa wapuuzi wanaoteseka na obsession (mnaita mapenzi) juu ya binadamu mwengine siwaelewi kabisa.

Yaani seriously kabisa mtu mzima kabisa unakosa kulala mpaka kulia kisa kambuzi kamoja hivi kanachooga poda? Why?
 
Nilifundisha na bibi kijijini jinsi ya kupenda😂
 
Mkuu kama bado unampenda mtafute...
Hayo mambo wanayaweza wachache ma nilishasema hapa kuhusu mambo ya long distance relationship
Nalinda brand mkuu, ni mwaka sasa hatujaonana na mawasiliano yameanza kuzolota mwezi huu labda kuna mjuba kashanipindua. Kumtafuta sana ni kushusha brand tho bado nampenda ila naamini kama ilipangwa kua itakua na kama haijapanda hata ufanye nini ni kazi bure.
 
Weka Imani Kubwa juu ya penzi lenu la mbali😐
 
Enjoy today let tomorrow take care of itself..., hata kama kesho mkiyakoroga atleast you had yesterday.... Remember the good times and good memories....

Like the saying in Casablanca.... We will Always have Paris....
 
Unakitu ,memories never die
 
Back
Top Bottom