Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

Finding love is like growing a business.
As a business owner you'll have to wear many hats;

You'd be a marketer, salesperson, product designer, blah blah blah, all at once.

As a lover you'll be a provider, friend, protector and more.

Finding a person that can give you as much as you feel you're worth, with you being able to reciprocate, is a long iterative process that will take a lot of failing and learning.

Don't give up trying, if you want love in your life.

Fail while learning(fail upwards).
 
Hahaa kwani me ndio nimemtenda?

Mycojkhan pole sana kwa yaliyokukuta, tafuta pisi nyingine mpya ikusahaulishe machungu
Napenda watu waelewa kama wewe aiseee...
Hivo ndio inavotakiwa sasa
... Tuongelee hapo kwenye kutafuta pisi nyingine ....,(⁠θ⁠‿⁠θ⁠)(⁠θ⁠‿⁠θ⁠)(⁠θ⁠‿⁠θ⁠)(⁠θ⁠‿⁠θ⁠)
 
Attachments

  • 9D49E468-0F96-4132-9130-94D537421DD4.jpeg
    9D49E468-0F96-4132-9130-94D537421DD4.jpeg
    68.4 KB · Views: 3
Napenda watu waelewa kama wewe aiseee...
Hivo ndio inavotakiwa sasa
... Tuongelee hapo kwenye kutafuta pisi nyingine ....,(⁠θ⁠‿⁠θ⁠)(⁠θ⁠‿⁠θ⁠)(⁠θ⁠‿⁠θ⁠)(⁠θ⁠‿⁠θ⁠)
Una kitu utafika mbališŸ™Œ
 
Back
Top Bottom