Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

Nalinda brand mkuu, ni mwaka sasa hatujaonana na mawasiliano yameanza kuzolota mwezi huu labda kuna mjuba kashanipindua. Kumtafuta sana ni kushusha brand tho bado nampenda ila naamini kama ilipangwa kua itakua na kama haijapanda hata ufanye nini ni kazi bure.
Ahahahahah Shafiii brand au sioooo
.... Tatizo wewe ukute ulikua kazi yako kutuma salamu tuu ila kutuma pesa aaaah
 
Mapenzi mapenzi mapenziii....nilikuwa hadi jumamosi naenda kanisanii na jumapili namsindikiza na yeye kanisanii...yaani nasali mara mbili ...lakini wapii??? Mlango Uwe mpana au mwembamba ....kutoa penzinj ni SUICIDE 😊 😊 😊 😊 😊
 
Mahusiano yataisha kwa nyie ote kupunguza au kuisha kwa vile vitu mlivyozoeana kupeana mfano upendo, muda, pesa na furaha.
Japokuwa kila mtu anatakiwa atambue dhamira ya yake mfano mahusiano ya kimaendeleo. Mmoja akienda kinyume na hapo kila mtu ni rahisi kupita zake shwaaaaa. #NAWAPENDA
 
Mahusiano yalinitesa sanaa Nikawa wakulialia Nikashindwa ku move on kutokana nilikuwa kipofu sikuona Mlango wa kutokea Nililuzi concentration baazi ya Mipango yangu na Mambo yangu kiujumla.

Hakikisha unatake care Roho yako, nafsi pamojah na mwili wako Jitahidi kujilinda
Hivyo jlivyo wewe ni wadhaman sana.

View attachment 3040743
kumbuka tu kuwa wanawake wapo zaidi ya milioni kumi
unakubali kuteswa na kamtu kamoja
 
Back
Top Bottom