Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Mkuu kama bado unampenda mtafute...Distance relationship ni shida yani sasa hivi inaweza pita siku nzima hakuna aliyemtafuta mwenzie na fresh tuu😁
Kumbe wee jamaa hovyo etAhsante Hiyo hera ya polee Nitumie M-pesa
Pole! utanenepa wk-end imeanza tryHadi nmekonda😄
Napenda watu waelewa kama wewe aiseee...Hahaa kwani me ndio nimemtenda?
Mycojkhan pole sana kwa yaliyokukuta, tafuta pisi nyingine mpya ikusahaulishe machungu
Ujiheshimu wewe hata kidogoSasa pole ya
unapatikana Pande zipi
Wee jamaa upo bar etUna kitu utafika mbali🙌
Ulikuwa husali kisa bebe mkuu??Naanza nakusali sasa🙏