Unapokosea lazima Mungu akuhukumu ili kuleta haki kwa viumbe wake

Unapokosea lazima Mungu akuhukumu ili kuleta haki kwa viumbe wake

Joined
Oct 23, 2022
Posts
97
Reaction score
99
Yaani wewe uue wenzako Mungu akuache tu! Yaani wewe uonee wenzako Mungu akuache tu!

Kwani wewe ukiwa umejifugia kuku wako huwezi kuwachinja? Kwani kama kuku mmoja ana mdomo wa kula mayai ya kuku wengine, utakuwa unamwacha tu aendelee kusababisha madhara?

Mungu ndio hakimu wa viumbe vyake. Mfugaji ndiye hakimu wa mifugo yake. Ushindwe na kulegea kwa jina la Yesu.
 
Back
Top Bottom