Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara.

Unapokutana na wezi ni option tatu pekee

1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga moto peku, umuhimu wa mazoezi upo hapa

2. Uwe tayari kwa mapambano, hapa uwe na mazoezi ya kupigana, uwe na uhakika unaweza kuwamudu

3. Toa ushirikiano - wape simu, pesa, n,k.

Chagua option moja wapo kulingana na ulivyo, mazingira, n.k. ni bora kuliko kupigwa panga kichwani
 
Of course
 
Attachments

  • FB_IMG_17386955936935335.jpg
    FB_IMG_17386955936935335.jpg
    296.2 KB · Views: 2
Kukabwa na vibaka ni uzembe wa mwanaume

Hapa mtaani wananijua vizuri jinsi mtu akizingua ninavyofanya
Hakuna wa kunikaba wala kuja kuiba nyumbani kwangu hata niache mlango wazi

Tengeneza standard hapo unapoishi watu wakipita wanajua kabisa hapa sio pa kugusa
 
Ivi upigane na vibaka wenye mapanga,nyundo,bisibisi,kisu na vitu vyenye ncha kali kweli? Hapo utakuwa unajitafutia kufa live bila chenga.
Vibaka wengi wanapigana kienyeji

Kwa mtu mwenye mafunzo ya kupigana anaweza kukalisha vibaka watatu wasio na mafunzo

niliwahi sikia kuna mmama huko kanda ya ziwa alivamiwa na vibaka nyumbani kwake alikula nao sahani moja
 
Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara.

Unapokutana na wezi ni option tatu pekee

1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga moto peku, umuhimu wa mazoezi upo hapa

2. Uwe tayari kwa mapambano, hapa uwe mtu wa mazoezi na umeona unaweza kuwamudu

3. Toa ushirikiano - wape simu, pesa, n,k. ni bora kuliko kupigwa panga kichwani
kwenye kukimbia, usije ukageuka kurudi ulipotoka ni bora kuwavaa kwa mbele.
 
Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara.

Unapokutana na wezi ni option tatu pekee

1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga moto peku, umuhimu wa mazoezi upo hapa

2. Uwe tayari kwa mapambano, hapa uwe na mazoezi ya kupigana, uwe na uhakika unaweza kuwamudu

3. Toa ushirikiano - wape simu, pesa, n,k.

Chagua option moja wapo kulingana na ulivyo, mazingira, n.k. ni bora kuliko kupigwa panga kichwani
Ukikimbia uwe na uhakika wa mambo matatu:-
1. Uvunjike mguu
2. Upigiwe nduru ya mwizi
3. Ujigonge kwenye mti ufe.

Ukipambana nao utegemee mambo matatu:-
1. Wakuibie
2.Wakujeruhi
3.Wakuue

Ukitoa ushirikiano tegemeq mawili:-
1. Wakuibie
2.Wakuue kufuta ushahidi
 
Wakikuomba nyuma tegemea mambo kadhaa:-
Wowowo likuote na uanze kutingisha, uanze kujipodoa, uanze kukaa sebuleni na wanawake huku mkiichambua tamthiliya ya saluni ya mama kimbo nk.
 
Back
Top Bottom