round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara.
Unapokutana na wezi ni option tatu pekee
1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga moto peku, umuhimu wa mazoezi upo hapa
2. Uwe tayari kwa mapambano, hapa uwe na mazoezi ya kupigana, uwe na uhakika unaweza kuwamudu
3. Toa ushirikiano - wape simu, pesa, n,k.
Chagua option moja wapo kulingana na ulivyo, mazingira, n.k. ni bora kuliko kupigwa panga kichwani