round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Vibaka wengi wanapigana kienyejiIvi upigane na vibaka wenye mapanga,nyundo,bisibisi,kisu na vitu vyenye ncha kali kweli? Hapo utakuwa unajitafutia kufa live bila chenga.
kwenye kukimbia, usije ukageuka kurudi ulipotoka ni bora kuwavaa kwa mbele.Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara.
Unapokutana na wezi ni option tatu pekee
1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga moto peku, umuhimu wa mazoezi upo hapa
2. Uwe tayari kwa mapambano, hapa uwe mtu wa mazoezi na umeona unaweza kuwamudu
3. Toa ushirikiano - wape simu, pesa, n,k. ni bora kuliko kupigwa panga kichwani
Uwe na kipaji au mafunzo ya kupigana, wakikuzidi hawakuachi salamaHiyo namba 2 ndo swadakta
Kuna mmoja wa tarime aliteka jambazi na kumtoa bunduki yake ya smgVibaka wengi wanapigana kienyeji
Kwa mtu mwenye mafunzo ya kupigana anaweza kukalisha vibaka watatu wasio na mafunzo
niliwahi sikia kuna mmama huko kanda ya ziwa alivamiwa na vibaka nyumbani kwake alikula nao sahani moja
Mbona haya unayosema yote yako kwenye hizo options 3 alizozisema mleta mada. Panua ubongo wako dogoInategemea wapo wangapi,wana zana zipi na wewe umejiandaaje.
Ukikimbia uwe na uhakika wa mambo matatu:-Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara.
Unapokutana na wezi ni option tatu pekee
1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga moto peku, umuhimu wa mazoezi upo hapa
2. Uwe tayari kwa mapambano, hapa uwe na mazoezi ya kupigana, uwe na uhakika unaweza kuwamudu
3. Toa ushirikiano - wape simu, pesa, n,k.
Chagua option moja wapo kulingana na ulivyo, mazingira, n.k. ni bora kuliko kupigwa panga kichwani
Kuna option ya nne na tano zipo.Mbona haya unayosema yote yako kwenye hizo options 3 alizozisema mleta mada. Panua ubongo wako dogo
Wakikuomba nyuma tegemea mambo kadhaa:-Ukikimbia uwe na uhakika wa mambo matatu:-
1. Uvunjike mguu
2. Upigiwe nduru ya mwizi
3. Ujigonge kwenye mti ufe.
Ukipambana nao utegemee mambo matatu:-
1. Wakuibie
2.Wakujeruhi
3.Wakuue
Ukitoa ushirikiano tegemeq mawili:-
1. Wakuibie
2.Wakuue kufuta ushahidi
Sasa kama kuna options za ziada ziepuke yaliyojitokeza kwenye option 1,2 na 3 ukileta swali ambalo linafall under the previous 3 options unaonekana kama hujielewi. Tanaibisha mkuu ili uwelewekeKuna option ya nne na tano zipo.
Yas magift wayadungunyue😃😃Wakitaka "Yas" je ,, unawapata tu?