EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
- Thread starter
- #21
NimeshakupishaNipishe huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimeshakupishaNipishe huko
Hamna shida mkuu nilitaka tu kukuweka aware kwamba Unachokitoa huko nyuma kule toilet ni chakula cha mwenyeji wakoSasa shida ipo wapi?
Duh mpaka natamani niwe huyo mwenyeji.Basi nikiwa naoga wanafaidiii hao wenyeji, manake nikiwa najisuguaga wowowo huwa nalitikisa kidogo🤣🤣🤣
Naona mwalimu kacheka pameanza kuchangamka
Sawa umeitumia vema haki yakoStory za watoto wa chekechea na la kwanza C hizi.
Atajijua mwenyewe, mi sijali lolote.....yani nipoo kwa kujibana bana, nioge kama naimba wimbo wa taifa kisa mwenyejiii...🤣🤣🤣🤣 as if alichangia tofali🤣Raha yako haimuhusu yeye anataka yake tu,yeye anakuwa kama yuko na mtu ilaa wewe ndio hujui chichote hivyo yeye raha apata
We kuwa tu lakini Sambi sako mwenyewe🤣🤣🤣Duh mpaka natamani niwe huyo mwenyeji.
Nakaziatusitishane.
😇🤣Unapojiona upo kwenye faragha chooni unajikakamua gogo litoke mpaka macho yanakutoka ujue hauko peke yako unakuwa na mwenyeji wako.
View attachment 3225915
,🫣🫣🫣🫣Basi nikiwa naoga wanafaidiii hao wenyeji, manake nikiwa najisuguaga wowowo huwa nalitikisa kidogo🤣🤣🤣
Mkuu wewe ni mganga au mchawi?Unapojiona upo kwenye faragha chooni unajikakamua gogo litoke mpaka macho yanakutoka ujue hauko peke yako unakuwa na mwenyeji wako.
View attachment 3225915
Hahaha 😋😘We kuwa tu lakini Sambi sako mwenyewe🤣🤣🤣
Tupia kavideo tuone kama kweliBasi nikiwa naoga wanafaidiii hao wenyeji, manake nikiwa najisuguaga wowowo huwa nalitikisa kidogo🤣🤣🤣
Mleta mada aweke video ya mwenyeji na mimi niweke ya mitikisiko.🤣🤣Tupia kavideo tuone kama kweli
Nitumie piem niteseke japo kidogoMleta mada aweke video ya mwenyeji na mimi niweke ya mitikisiko.🤣🤣
Ni kweli, ndio maana sisi Waislamu tumeambiwa tusome dua kabla na baada ya kutoka chooni, tujikinge na mashetanUnapojiona upo kwenye faragha chooni unajikakamua gogo litoke mpaka macho yanakutoka ujue hauko peke yako unakuwa na mwenyeji wako.
View attachment 3225915
Mshirikina mbobevuMkuu wewe ni mganga au mchawi?
Allahuma In-nee aoothu bika minal khubuthee wal kabaithNi kweli, ndio maana sisi Waislamu tumeambiwa tusome dua kabla na baada ya kutoka chooni, tujikinge na mashetan
Linatikisika Au unalitikisaBasi nikiwa naoga wanafaidiii hao wenyeji, manake nikiwa najisuguaga wowowo huwa nalitikisa kidogo🤣🤣🤣