chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Tukiwa tunakula kitimoto peke yetu mbona mashaeik wanatuambia haramu wakati tupo peke yetu na ndizi mzuzu.Unapojiona upo kwenye faragha chooni unajikakamua gogo litoke mpaka macho yanakutoka kamq baunsa la amadou amadou ujue hauko peke yako unakuwa na mwenyeji wako.
View attachment 3225915