Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Hamna lolote. Siku moja ktk. wiki huwa napuizaga rungu kwa ajili ya mbu. Kazi anayo ujue.Usicheze na mashetani baba kitu kama kinakaa huko chochote cha huko ni chake,ni maruhani machafu na ni ya mikosi,ni moja ya mashetani yanayotumiwa na wachawi kuwapa watu nuksi/mikosi