Unapokuwa chooni peke yako huwa hauwi peke yako

Anakula mavi yetu siunajua mashetani hayaishiwi vituko
Mwee! Ina mana ukiwa singo halafu usipoenda kukata gogo siku 2 nzima atakuwa na wakati mgumu sana kwani atakuwa analalaga njaa?
 
Aaaah! Hayo yanakuwa yamesha chacha au bado kwake ni posho??
Usicheze na mashetani baba kitu kama kinakaa huko chochote cha huko ni chake,ni maruhani machafu na ni ya mikosi,ni moja ya mashetani yanayotumiwa na wachawi kuwapa watu nuksi/mikosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…