Unapokuwa chooni peke yako huwa hauwi peke yako

Usicheze na mashetani baba kitu kama kinakaa huko chochote cha huko ni chake,ni maruhani machafu na ni ya mikosi,ni moja ya mashetani yanayotumiwa na wachawi kuwapa watu nuksi/mikosi
Hamna lolote. Siku moja ktk. wiki huwa napuizaga rungu kwa ajili ya mbu. Kazi anayo ujue.
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Pole yake kwa kweli! Sio kwa harufu ile ya siku ile😂😂🤣, mwenyewe nilipata shida!!🤣🤣
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Leo kuna watu watalala na mavi yao kwa kuogopa kwenda kunya na ndio lengo langu
 
Leo kuna watu watalala na mavi yao kwa kuogopa kwenda kunya na ndio lengo langu
Kwani mkuu; kwenye ile selfcontained room ya Tzs.25,000/= + si unalipia na unalala nayo mumohumo hutoki nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…