Sio kizembe hivyo...watu wanafumaniwa red handed sembuse kwenye simuUngejaa tu ndio ungejuwa kuwa hujuwi
Bila shaka huyo dada ni wewe..Wachepukaji kazi mnayo, kuna dada anachepuka na mme wa mtu ni kiboko, sms zake huwezi zielewa wanazijua wao wenyewe.
Anaweza andika no 5 kumbe hii 5 ni salamu, na mme anajibu kwa no dah watu ni wahuni. Akiandika 2 maana yake anamuuliza alipo[emoji23]
Aah wapi at this point kwakweli mme wa mtu simuwezi, mambo ya kufichana ficha mimi siwezi, mtu huwezi mpigia simu unavyotaka huwezi mtumia ki sms kitamu unavyo taka, no ka video call usiku, mme wa mtu hapana wacha nipambane na hawa senior bachelorsBila shaka huyo dada ni wewe..
Unakosa raha za dunia........Na uchepukaji wangu wote,
MKE wa mtu kwakweli hapana[emoji120]
Na uchepukaji wangu wote,
MKE wa mtu kwakweli hapana[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna yulee jamaa ktk story yakoo alikuwa anakulia mchepuko wako mbonaa ukumpakiaa futa sikion ,akala na akaendaaHaina shida, Ila siku nikikujua
Jua tu ntakuja na kilainishi kabisa ili nikupongeze kwa ujasili wako[emoji4]View attachment 2142004
Hapo sasa[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna yulee jamaa ktk story yakoo alikuwa anakulia mchepuko wako mbonaa ukumpakiaa futa sikion ,akala na akaendaa
Amejifanyaa amesahauHapo sasa[emoji28]
daaaa hatariNamm nimeona hili katk mausiano yangu na mke wa mtu yey alinimbia kuw simu mume wake anapenda San kutumia jioni kuanzia saa 12 za jioni had usku anakuwa nayo yey hvyo nisitume Wala kujibu msg yoyote itakayo ingia kuanzia saa hzo na
Na pia akanimbia mume wake huyo akiandika msg na kuweka nukta Basi nisijibu hyo msg na simu niizime kabsa kwani Ni mume wake huyo ndio anapenda kuandiaka hvyo.
Nimejaribu kumuacha hyu dad lkn ataki kbsa kusikia hii hbr namfanya staili yeyote nitakayo mm Bila mgomo wowote .mbaya Zaid Ni Hawa wa dad wanaosali kwa mwamposa nachoka mm yaani sijui Ni maombi gani huwa anaenda kufanya na animbia ananiombe San tu[emoji23]
Hao wake za watu wenyewe sasa ndio kama hawa hapa [emoji39][emoji39][emoji39].Ila wanaume wana kazi.
Sasa mtu anaanzaje kuwa na mahusiano na mke wa mtu na wakati wanawake wasioolewa wamejaa tele?
[emoji3]
Hapa lazima jua literemkeHao wake za watu wenyewe sasa ndio kama hawa hapa [emoji39][emoji39][emoji39].
Wakati wa kuwatongoza ukiwauliza kama wameolewa wanakujibu kua wameolewa lakini sio kiviiiiiiiile. View attachment 2151480
Ila wanaume wana kazi.
Sasa mtu anaanzaje kuwa na mahusiano na mke wa mtu na wakati wanawake wasioolewa wamejaa tele?
[emoji3]
Hakua serious yule[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna yulee jamaa ktk story yakoo alikuwa anakulia mchepuko wako mbonaa ukumpakiaa futa sikion ,akala na akaendaa
Hamna lolote uliloongea hapaHaiwezi kuwa na jibu la aina moja sababu huwa inatokea kujikuta mtu ameoa au kuolewa na ambaye siye hasa ambae alitarajia awe.
Ila hiyo ya kusukumwa na penzi la kweli ni wachache na hutokea , lakini wengi husukumwa na tamaa tu.
Pia Kama una upendo wa kweli na mtu huwezi penda yoyote.
Unakuta huyo ambae pengine leo ameolewa ndiye anampenda na kuendana kwenye mambo mengi!
Wengine wameoa tu sababu mwanamke alitegesha mimba akaongeza na ulozi akaolewa lakini kumbe Mwanaume alikusudia kupita tu na sio kuoa unakuta anaempenda kwa dhati alikuwa mwingine!