Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

Wachepukaji kazi mnayo, kuna dada anachepuka na mme wa mtu ni kiboko, sms zake huwezi zielewa wanazijua wao wenyewe.
Anaweza andika no 5 kumbe hii 5 ni salamu, na mme anajibu kwa no dah watu ni wahuni. Akiandika 2 maana yake anamuuliza alipo[emoji23]
Bila shaka huyo dada ni wewe..
 
Bila shaka huyo dada ni wewe..
Aah wapi at this point kwakweli mme wa mtu simuwezi, mambo ya kufichana ficha mimi siwezi, mtu huwezi mpigia simu unavyotaka huwezi mtumia ki sms kitamu unavyo taka, no ka video call usiku, mme wa mtu hapana wacha nipambane na hawa senior bachelors
 
Ila wanaume wana kazi.
Sasa mtu anaanzaje kuwa na mahusiano na mke wa mtu na wakati wanawake wasioolewa wamejaa tele?
😀
 
Namm nimeona hili katk mausiano yangu na mke wa mtu yey alinimbia kuw simu mume wake anapenda San kutumia jioni kuanzia saa 12 za jioni had usku anakuwa nayo yey hvyo nisitume Wala kujibu msg yoyote itakayo ingia kuanzia saa hzo na

Na pia akanimbia mume wake huyo akiandika msg na kuweka nukta Basi nisijibu hyo msg na simu niizime kabsa kwani Ni mume wake huyo ndio anapenda kuandiaka hvyo.

Nimejaribu kumuacha hyu dad lkn ataki kbsa kusikia hii hbr namfanya staili yeyote nitakayo mm Bila mgomo wowote .mbaya Zaid Ni Hawa wa dad wanaosali kwa mwamposa nachoka mm yaani sijui Ni maombi gani huwa anaenda kufanya na animbia ananiombe San tu[emoji23]
daaaa hatari
 
Ila wanaume wana kazi.
Sasa mtu anaanzaje kuwa na mahusiano na mke wa mtu na wakati wanawake wasioolewa wamejaa tele?
[emoji3]
Hao wake za watu wenyewe sasa ndio kama hawa hapa [emoji39][emoji39][emoji39].
Wakati wa kuwatongoza ukiwauliza kama wameolewa wanakujibu kua wameolewa lakini sio kiviiiiiiiile.
Screenshot_20220314-121959.jpg
 
Ila wanaume wana kazi.
Sasa mtu anaanzaje kuwa na mahusiano na mke wa mtu na wakati wanawake wasioolewa wamejaa tele?
[emoji3]

Haiwezi kuwa na jibu la aina moja sababu huwa inatokea kujikuta mtu ameoa au kuolewa na ambaye siye hasa ambae alitarajia awe.

Ila hiyo ya kusukumwa na penzi la kweli ni wachache na hutokea , lakini wengi husukumwa na tamaa tu.

Pia Kama una upendo wa kweli na mtu huwezi penda yoyote.

Unakuta huyo ambae pengine leo ameolewa ndiye anampenda na kuendana kwenye mambo mengi!

Wengine wameoa tu sababu mwanamke alitegesha mimba akaongeza na ulozi akaolewa lakini kumbe Mwanaume alikusudia kupita tu na sio kuoa unakuta anaempenda kwa dhati alikuwa mwingine!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna yulee jamaa ktk story yakoo alikuwa anakulia mchepuko wako mbonaa ukumpakiaa futa sikion ,akala na akaendaa
Hakua serious yule[emoji4]
 
Haiwezi kuwa na jibu la aina moja sababu huwa inatokea kujikuta mtu ameoa au kuolewa na ambaye siye hasa ambae alitarajia awe.

Ila hiyo ya kusukumwa na penzi la kweli ni wachache na hutokea , lakini wengi husukumwa na tamaa tu.

Pia Kama una upendo wa kweli na mtu huwezi penda yoyote.

Unakuta huyo ambae pengine leo ameolewa ndiye anampenda na kuendana kwenye mambo mengi!

Wengine wameoa tu sababu mwanamke alitegesha mimba akaongeza na ulozi akaolewa lakini kumbe Mwanaume alikusudia kupita tu na sio kuoa unakuta anaempenda kwa dhati alikuwa mwingine!
Hamna lolote uliloongea hapa
 
Yote hayo ya nini jamani?

Hivi kuna mapenzi zaidi ya kila mtu na wake kweli ambae unakuwa huru kuongea nae muda wowote, kujiachia nae na kulisogeza li life la ukweli jamani?

Ama the forbidden fruit is the sweetest kuna ka utamu flani ka kuibiana mapenzi?
 
Back
Top Bottom