Unapokuwa nje ya JF huwa unammiss nani zaidi?

Unapokuwa nje ya JF huwa unammiss nani zaidi?

aisee

kweli nyie ni pair
Wewe ukitulia utapata wa size yako, tatizo unapagawa sana.
Ukimuona darlin unapagawa, ukimuona joannah unapagawa, ukimuona shunie unapagawa, ukimuona depal unapagawa, ukimuona Carleen unapagawa, ukimuona mamy k unapagwa, wewe hadi kwa to yeye unapagawa
 
Back
Top Bottom