Unapokuwa nje ya JF huwa unammiss nani zaidi?

Wewe ukitulia utapata wa size yako, tatizo unapagawa sana.
Ukimuona darlin unapagawa, ukimuona joannah unapagawa, ukimuona shunie unapagawa, ukimuona depal unapagawa, ukimuona Carleen unapagawa, ukimuona mamy k unapagwa, wewe hadi kwa to yeye unapagawa
hao washkaji tu

hebu nipe maujanja bro niopoe hata mmoja humu
 
Wewe ukitulia utapata wa size yako, tatizo unapagawa sana.
Ukimuona darlin unapagawa, ukimuona joannah unapagawa, ukimuona shunie unapagawa, ukimuona depal unapagawa, ukimuona Carleen unapagawa, ukimuona mamy k unapagwa, wewe hadi kwa to yeye unapagawa

Kuna mmoja hujamuorodhesha hapo ndio kipenzi chake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio size yake, katoto kenzie soon naita kamati
 
Back
Top Bottom