Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.....Mwe Mwe jamani 😍😍😍
Ona akili zako sasa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu.....
Ushindwe mwenyewe sasa kwenye umaliziaji...[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji16]Kwani wivu umeanza lini eti? [emoji23]
Hehehe [emoji23][emoji23]Kumbe upo!! Haya twende jela kwanza ukajibu kesi!!
Asante sana mjukuu wangu mwema na uliyebarikiwa sana. Sisi ni ndugu. Always remember that mjukuu.Babu yangu Shimba ya Buyenze
Huyu Babu ya ukweli,
Pili huyu Babu was mchongo Grahams [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],hatareeeeee Sana.
Tatu nawamiss woteeeeee,wanaonipenda na wanaonichukia,hii ndiyo DUNIA
Nawapenda.
Babu fox haumuamini[emoji23],yule si alishasarenda[emoji16]Asante sana mjukuu wangu mwema na uliyebarikiwa sana. Sisi ni ndugu. Always remember that mjukuu.
Nakupenda sana mjukuu wangu [emoji1545]. Ila uwaambie mzabzab na lile lijamaa la kuitwa Foxhound wakae mbali nawe maana kitakachokuja kuwapata haki ya nani watakuja kusimulia [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2690863
Greatest Of All Time na Mpwayungu Village2016 kurdi nyuma nilikuwa sipitishi siku sijaingia humu. Ila kwasasa majukumu yanabana sana.
Ukiwa free ndiyo muda pekee wa kucheza na watoto. Nadhani hili halinitokei peke yangu tu.
Binafsi nikiwa offline nawamiss watu kibao. Ila zaidi huwa nammiss @bbade
Wewe huwa unammiss nani zaidi?
[emoji1787][emoji1787]Nawahamu sana ndugu zangu waislamu
Napenda sana mada zao za kulialia.