Unapokuwa nje ya JF huwa unammiss nani zaidi?

πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜Ila huyo new wako lover Lazima anitoboe macho....maana sijui kama ana moyo wa kushare kama wangu πŸ€’
😁😁😁 Alafu mbona mnanichafua kisiasa jamani.. mie nina mpenzi gani mpyaaa... Nimetoka chit chat ntapewa tuhuma nimekula wapenzi wawili wa MTU ... Ilhali sijawahi hata kutana na mwanamke wa Jf πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
🀣🀣🀣🀣Afu Cha ajabu umepata mwanamke anayesema wakijipitisha wapitie....πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€’
 
Kijana umekula matunda kwenye bustani ya jeshi 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣Afu Cha ajabu umepata mwanamke anayesema wakijipitisha wapitie....πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€’
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… NyΓ­e ndio mnafanya mod Wana niandamaaa humu.. nachukiwaa MTU no sie na hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…