Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

Laki.? Wakati mtu anakupigia mahesabu katumia 15k kwa mwanamke anauliza huyo mwanamke anampenda au anatumia tu pesa zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ila wanaume wanapenda kuwapa pesa wanawake wanaowapenda basi tu vipato vinawaangusha
Yes indeed
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dah
 
Ndio ujue sasa hivi vislay Queens vya JF navyopakaziwa navigegeda ni uzishi tu.

Wewe ndio chaguo langu la moyo, soulmate wa milele.

Nakupenda milele
♥️♥️♥️
 
Back
Top Bottom