Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Unamuuliza hakujibu,

Shida nini hakujibu

Umekosea wapi!? Hakujibu

Yani yupo kama yupo tu!?

Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.

Unamaliza , yupo tuu..

Yani yupo tu.

Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.

Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
 
Sio kila kitu ni kuwalaumu wanawake. Sisi ndo tunatakiwa tujilaumu kwanini hatujafikia kwenye ubora unaotakiwa.

Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha, unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?

Asilimia kubwa ya matatizo yanayowakumba wanawake ni makosa yetu na uvivu wa kutotaka kuyarekebisha.
 
Sio kila kitu ni kuwalaumu wanawake. Sisi ndo tunatakiwa tujilaumu kwanini hatujafikia kwenye ubora unaotakiwa.

Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha , unadhani atakuchekea?

Huyo mwanamke aseme sasa kosa liko wapi atanuna mpaka lini?
 
Unamuuliza hakujibu,

Shida nini hakujibu

Umekosea wapi!? Hakujibu

Yani yupo kama yupo tu!?

Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.

Unamaliza , yupo tuu..

Yani yupo tu.

Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.

Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
Labda jamaa/mchepuko wake anakuwa amemuudhi, so inabidi uwe muelewa na kumpa space.
 
Sio kila kitu ni kuwalaumu wanawake. Sisi ndo tunatakiwa tujilaumu kwanini hatujafikia kwenye ubora unaotakiwa.

Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha , unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?

Asilimia kubwa ya matatizo yanayowakumba wanawake ni makosa yetu na uvivu wa kutotaka kuyarekebisha.
Wewe nawe ni mwanamke
 
Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha , unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?
Sasa kwanini asiseme.. ili myajenge. Na mwenye kosa ajirekebishe!?

Akikaa kimya anaharibu zaidi.
 
Back
Top Bottom