Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

Unamuuliza hakujibu,

Shida nini hakujibu

Umekosea wapi!? Hakujibu

Yani yupo kama yupo tu!?

Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.

Unamaliza , yupo tuu..

Yani yupo tu.

Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.

Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
Huyo humgongi vizuri.... Wengi wenye visarani hawagongwi vizuri, ukipata mtu wa kukusaidia kumgonga mke wako uwezi kuona tena hizi kero, uwa wanarudi nyumbani wakiwa wachangamfu
 
Sio kila kitu ni kuwalaumu wanawake. Sisi ndo tunatakiwa tujilaumu kwanini hatujafikia kwenye ubora unaotakiwa.

Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha, unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?

Asilimia kubwa ya matatizo yanayowakumba wanawake ni makosa yetu na uvivu wa kutotaka kuyarekebisha.
Neno
 
Back
Top Bottom