Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mwambie umemwona jana akiingia gesti, utashuhudia redio ikitoa milio bila betri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie umemwona jana akiingia gesti, utashuhudia redio ikitoa milio bila betri.
Hongera sana, mwanamke amekasirika na unapewa tunda, wengine kupata hilo tunda ni mbinde, yaani umelala unawaza unamuanzaje
Kunywa soda nitakuja kulipaSio kila kitu ni kuwalaumu wanawake. Sisi ndo tunatakiwa tujilaumu kwanini hatujafikia kwenye ubora unaotakiwa.
Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha, unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?
Asilimia kubwa ya matatizo yanayowakumba wanawake ni makosa yetu na uvivu wa kutotaka kuyarekebisha.
Mimi sio mwanamke ila sasahivi imekuwa too much, ndio mwanamke ana makosa ila kumbuka makosa yote ya wanawake yanasababishwa na wanaume.
Sisi ndo source ya matatizo yao karibia yote licha ya kwamba baadhi ya matatizo hayo wanayasababisha wao wenyewe ila most of the time sisi ndo initiators.
Hili ni kwasababu wanaume hawataki kuwa wanaume, tumeanza kuiga tabia za wanawake za kutoa malalamiko sana, kuongea sana, ile level ya masculinity imepungua sana, unamkalisha mwanamke chini unamuuliza tatizo, hataki kusema unamuacha, unamnyima attention, atakuja kusema.
Tuwe alpha males.
Unamuuliza hakujibu,
Shida nini hakujibu
Umekosea wapi!? Hakujibu
Yani yupo kama yupo tu!?
Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.
Unamaliza , yupo tuu..
Yani yupo tu.
Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.
Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
Mnyime hela uone kama hatoongea..
Ataanza kuomba msamaha kuwa amepitiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie endeleeni kuwaonea huruma hao viumbe..Hii sio sawa, na ushauri mbaya.
[emoji419][emoji419][emoji419]Mimi sio mwanamke ila sasahivi imekuwa too much, ndio mwanamke ana makosa ila kumbuka makosa yote ya wanawake yanasababishwa na wanaume.
Sisi ndo source ya matatizo yao karibia yote licha ya kwamba baadhi ya matatizo hayo wanayasababisha wao wenyewe ila most of the time sisi ndo initiators.
Hili ni kwasababu wanaume hawataki kuwa wanaume, tumeanza kuiga tabia za wanawake za kutoa malalamiko sana, kuongea sana, ile level ya masculinity imepungua sana, unamkalisha mwanamke chini unamuuliza tatizo, hataki kusema unamuacha, unamnyima attention, atakuja kusema.
Tuwe alpha males.
Ataanza kuomba msamaha kuwa amepitiwa
Ah bc ukiona hvy ujue huyo hakuwa wife materialHujakutana na wanawake majeuri wewe, anakupotezea na maswali yako
Mpige pombe! Fanya umekosea njia kuu na kwenda mtaroni! Hizi njia zitarudisha fahamu zakeUnamuuliza hakujibu,
Shida nini hakujibu
Umekosea wapi!? Hakujibu
Yani yupo kama yupo tu!?
Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.
Unamaliza , yupo tuu..
Yani yupo tu.
Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.
Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
Nyie endeleeni kuwaonea huruma hao viumbe..
Nawafahamu kwa kiasi.Bado huhawafahamu hawa viumbe vizuri..
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Watakuchukia sana kwa hii statement yako shemegi....
Kunywa soda nitakuja kulipa
Kaka umeoa? Km bado ni piem una kitu wewe [emoji12]
sasa kama kuna shida kwanini unune? ukiongea si ndo atajua amekosea wapi[emoji419][emoji419][emoji419]
upewe maua yako mamaMi nawazaga huenda hizi dawa za uzazi wa mpango Kuna namna inaharibu Utendaji kazi mzuri wa ubongo wa mwanamke. Na pia we mwanamke unaenunanuna utanuna Mpaka lini?. Mana Kama kuna shida kaa na mwenzako chini muyamalize, unazeeka mapema na presha juu kisa tu Mambo yasiyo na msingi, Familia yako ndio kila kitu, Na familia yenye afya Ni yenye furaha na mawasiliano mazuri.