Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

Sio kila kitu ni kuwalaumu wanawake. Sisi ndo tunatakiwa tujilaumu kwanini hatujafikia kwenye ubora unaotakiwa.

Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha, unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?

Asilimia kubwa ya matatizo yanayowakumba wanawake ni makosa yetu na uvivu wa kutotaka kuyarekebisha.
Kunywa soda nitakuja kulipa
 
Mimi sio mwanamke ila sasahivi imekuwa too much, ndio mwanamke ana makosa ila kumbuka makosa yote ya wanawake yanasababishwa na wanaume.

Sisi ndo source ya matatizo yao karibia yote licha ya kwamba baadhi ya matatizo hayo wanayasababisha wao wenyewe ila most of the time sisi ndo initiators.

Hili ni kwasababu wanaume hawataki kuwa wanaume, tumeanza kuiga tabia za wanawake za kutoa malalamiko sana, kuongea sana, ile level ya masculinity imepungua sana, unamkalisha mwanamke chini unamuuliza tatizo, hataki kusema unamuacha, unamnyima attention, atakuja kusema.

Tuwe alpha males.

Kaka umeoa? Km bado ni piem una kitu wewe [emoji12]
 
Unamuuliza hakujibu,

Shida nini hakujibu

Umekosea wapi!? Hakujibu

Yani yupo kama yupo tu!?

Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.

Unamaliza , yupo tuu..

Yani yupo tu.

Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.

Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?

Tatizo lipo katika wewe kuuliza hayo maswali, acha kuuliza week uone kama yeye ajaanza kukuuliza hayo maswali. Mmeshafanywa watumwa na hawa wanawake
 
Mimi sio mwanamke ila sasahivi imekuwa too much, ndio mwanamke ana makosa ila kumbuka makosa yote ya wanawake yanasababishwa na wanaume.

Sisi ndo source ya matatizo yao karibia yote licha ya kwamba baadhi ya matatizo hayo wanayasababisha wao wenyewe ila most of the time sisi ndo initiators.

Hili ni kwasababu wanaume hawataki kuwa wanaume, tumeanza kuiga tabia za wanawake za kutoa malalamiko sana, kuongea sana, ile level ya masculinity imepungua sana, unamkalisha mwanamke chini unamuuliza tatizo, hataki kusema unamuacha, unamnyima attention, atakuja kusema.

Tuwe alpha males.
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Sema wanangu nyie wenye wake hongereni ..ila Mimi sasa naona kama nimekosea hivii 😅😅 Jana pisi yangu eti imenituma nikamletee makongoro kweli ?mi naona huu ni unyanyasaji wa kijinsia
 
Unamuuliza hakujibu,

Shida nini hakujibu

Umekosea wapi!? Hakujibu

Yani yupo kama yupo tu!?

Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.

Unamaliza , yupo tuu..

Yani yupo tu.

Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.

Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
Mpige pombe! Fanya umekosea njia kuu na kwenda mtaroni! Hizi njia zitarudisha fahamu zake
 
Mi nawazaga huenda hizi dawa za uzazi wa mpango Kuna namna inaharibu Utendaji kazi mzuri wa ubongo wa mwanamke. Na pia we mwanamke unaenunanuna utanuna Mpaka lini?. Mana Kama kuna shida kaa na mwenzako chini muyamalize, unazeeka mapema na presha juu kisa tu Mambo yasiyo na msingi, Familia yako ndio kila kitu, Na familia yenye afya Ni yenye furaha na mawasiliano mazuri.
upewe maua yako mama
 
Back
Top Bottom