Mimi sio mwanamke ila sasahivi imekuwa too much, ndio mwanamke ana makosa ila kumbuka makosa yote ya wanawake yanasababishwa na wanaume.Wewe nawe ni mwanamke
Sisi ndo source ya matatizo yao karibia yote licha ya kwamba baadhi ya matatizo hayo wanayasababisha wao wenyewe ila most of the time sisi ndo initiators.
Hili ni kwasababu wanaume hawataki kuwa wanaume, tumeanza kuiga tabia za wanawake za kutoa malalamiko sana, kuongea sana, ile level ya masculinity imepungua sana, unamkalisha mwanamke chini unamuuliza tatizo, hataki kusema unamuacha, unamnyima attention, atakuja kusema.
Tuwe alpha males.