Huyo mwanamke aseme sasa kosa liko wapi atanuna mpaka lini?Sio kila kitu ni kuwalaumu wanawake. Sisi ndo tunatakiwa tujilaumu kwanini hatujafikia kwenye ubora unaotakiwa.
Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha , unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?
Asilimia kubwa ya matatizo yanayowakumba wanawake ni makosa yetu na uvivu wa kutotaka kuyarekebisha.
Labda jamaa/mchepuko wake anakuwa amemuudhi, so inabidi uwe muelewa na kumpa space.Unamuuliza hakujibu,
Shida nini hakujibu
Umekosea wapi!? Hakujibu
Yani yupo kama yupo tu!?
Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.
Unamaliza , yupo tuu..
Yani yupo tu.
Unaanza kujiuliza umekosea wapi!? Huoni, hukumbuki. Kuna kitu ulimfanyia, hukumbuki.
Basi tu, kaamua kukutesa. Nyie Wanawakee?
Wewe nawe ni mwanamkeSio kila kitu ni kuwalaumu wanawake. Sisi ndo tunatakiwa tujilaumu kwanini hatujafikia kwenye ubora unaotakiwa.
Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha , unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?
Asilimia kubwa ya matatizo yanayowakumba wanawake ni makosa yetu na uvivu wa kutotaka kuyarekebisha.
Topic imeanzishwa saa 5:47 usiku kwa saa za tz.Unaomba game.. anakupa, ila yupo tu.
Unamaliza , yupo tuu..
Sasa kwanini asiseme.. ili myajenge. Na mwenye kosa ajirekebishe!?Imagine umemsaliti mwanamke, unaexpect atakuchekea?
Imagine humpi pesa ya matumizi, unataka akuchekee?
Imagine humpi ushirikiano kilichowahalalisha , unadhani atakuchekea?
Imagine unalewa vibaya na kuisahau familia, unadhani atakuchekea?
Wanawake ni very complex...Topic imeanzishwa saa 5:47 usiku kwa saa za tz.
Pole sana mkuu inaonyesha hili jambo limekuumiza sana ukaona uliseme mapema bado jogoo anaruka ruka😅
Nimeacha kila hitaji... Hakuna shida yeyote.Tumia akili, huenda kuna ulichomkosea ila anasita kukueleza.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
JiongezeKaliwa!!